Jinsi ya ku-unscramble "scrambled channels" on dish

The_Emperor

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
871
Reaction score
125
Msaada tafadhali jinsi ya ku-unscramble channels!Ni kwenye strong receiver!Natarajia mautundu kutoka kwenu wadau wa tech.
 
Msaada tafadhali jinsi ya ku-unscramble channels!Ni kwenye strong receiver!Natarajia mautundu kutoka kwenu wadau wa tech.

kunanjia mpya na inafanya kazi bado naifatilia kusoma soma. unapata channel zote za MULTCHOICE freeee plus others inacost kama laki 7. kama upo serious nikuelekeze. au kama unapenda kusoma soma kama mimi basi search google kitu yaitwa dream box receiver..ebay ni dolla 420 au lah...then kuna step za kuiflash na kuinstall vifile fulani hivi..tene unatumia dish la kawaida tu ila inabidi uwe na router na internet access ni simple ila bado tunaifanyia testing na watu wengi wanatumia. ngoja nimalize udadisi ikiwapoa nita tengeneza maelekezo na ikiwezekana nita nunua box hizo na kuziuza kwa bei poa kwa watakao shindwa kununua moja kwa moja so wait wait mkuu
 
Mkuu SHAROBALO, ninasubiri hayo maujanja.
 
Last edited by a moderator:

nshasoma on how to access free internet, even baadhi ya receiver za strong zinakubali as lng as zina port ya internet.. Na 4rm wat i read they r the cheapest
 
sijui kama hizo strong zinakubali, from wat i know dream box recever zinatumia LINUX hizo zingine zinatumia os nyingine..linux ya kwenye box hio ni eay kuongezea hizo file zinaitwaa cam ambazo ndio zinafungua hizo chanel, so ethernet pekee sio sababu,but i dnt knw labda.
nshasoma on how to access free internet, even baadhi ya receiver za strong zinakubali as lng as zina port ya internet.. Na 4rm wat i read they r the cheapest
 
Umefufukia wapi wewe??? hujaonekana couple of days
 
Afu vp khs channel ambazo sio scrambled(hazina alama $$) lakini hazionyeshi kwenye dish lakini zile bars zinazo onyesha signal na strength zinasoma vizuri . Mfano ni ATN na TVM2 ya mozambique.
 
Ni vipi pia napata Citizen tv,ITV,CAPTL,EATV,TMV1,2 lakini sipati TBC,chnl ten,na star tv? C band Lnb ipo ktk intelsat 902,64¤East. Pls saidia
 
TVM2 ya msumbiji mbona inaonekana siku zote hebu jaribu ku re scan ATN ndio haipo kabisa.
 
TVM2 ya msumbiji mbona inaonekana siku zote hebu jaribu ku re scan ATN ndio haipo kabisa.

kwa mtu ambaye yuko mbeya afu anahtaji kuna jamaa anasukuma Openbox mpya kwa 350,000
 
Hii kitu nasikia murua sana

yeah! Iko poa sana 2 kaka, jipige pige ununue.. It z almst 480,000 kwa kununua moja moja, kusave cost mtafute anaye agiza nyingi. Full super spot, mnet, chanel 0 , Mtv and alot more.
 
yeah! Iko poa sana 2 kaka, jipige pige ununue.. It z almst 480,000 kwa kununua moja moja, kusave cost mtafute anaye agiza nyingi. Full super spot, mnet, chanel 0 , Mtv and alot more.

Hii ni kamali unaweza kufaidi miezi 4 au 3 wanafunga mimi ni nadongo 2 hazina kazi sina hamu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…