Mm yangu ni nokia xl dual sim rm-1030 je naweza kuiroot na kuinstall google play maana nikifata procedure ya xda kuroot kwa frama root yaan bila computa inagoma kuroot pia nikitumia computa nikiconnect simu yangu inashindwa kusoma kwenye manager ya kwenye pc inakuwa inaload tuu mda wote naomba msaada nn tatizo ?
Habari njema kwako uneataka ku root smartphone yako, mi nimefanikiwa ku root smartphone yangu bila matatizo, fuata njia hizi
1.fahamu cm yako ni android version ipi nenda kwenye settings >about
2. tumia apps kama kingo root ama iroot
3.hakikisha una download app ya ku root moja kwa moja bila kuhusisha computer
4. Ukifanikiwa hizo steps enjoy cm yako ikiwa ime root