sherida Senior Member Joined Feb 15, 2017 Posts 133 Reaction score 194 Dec 1, 2021 #1 Habari zenu wakuu naombeni Masada jinsi ya kui nstall Netflix kwenye simu yangu Aina ya Red mi 7 maana kila navyojaribu inatokea ujumbe your device isn't compatible with this version
Habari zenu wakuu naombeni Masada jinsi ya kui nstall Netflix kwenye simu yangu Aina ya Red mi 7 maana kila navyojaribu inatokea ujumbe your device isn't compatible with this version
Johnny Impact JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 5,711 Reaction score 9,317 Dec 1, 2021 #2 Angalia requirement ya hiyo app kisha angalia unatumia Android version ngapi?
nyumbani kwenu Senior Member Joined Aug 11, 2020 Posts 153 Reaction score 165 Dec 1, 2021 #3 haisapot apo,fanya kudowload apk from google ikishindikana tumia netflix kupitia web browser kama google chrome,opera na nyinginezo
haisapot apo,fanya kudowload apk from google ikishindikana tumia netflix kupitia web browser kama google chrome,opera na nyinginezo
sherida Senior Member Joined Feb 15, 2017 Posts 133 Reaction score 194 Dec 2, 2021 Thread starter #4 hjr said: haisapot apo,fanya kudowload apk from google ikishindikana tumia netflix kupitia web browser kama google chrome,opera na nyinginezo Click to expand... Asante mkuu
hjr said: haisapot apo,fanya kudowload apk from google ikishindikana tumia netflix kupitia web browser kama google chrome,opera na nyinginezo Click to expand... Asante mkuu
sherida Senior Member Joined Feb 15, 2017 Posts 133 Reaction score 194 Dec 2, 2021 Thread starter #5 Johnny Impact said: Angalia requirement ya hiyo app kisha angalia unatumia Android version ngapi? Click to expand... Ok
Johnny Impact said: Angalia requirement ya hiyo app kisha angalia unatumia Android version ngapi? Click to expand... Ok