inawezekana hujafukua post zilizopita. Kuna post moja ilitundikwa na SHAROBARO humo alieleza kila kitu kwa mapana tena akasema nilazima kwanza uwe na simple website ili kufanikisha.ningekuwa natumia pc hapa ningekuwekea link ila usikate tamaa kwa maneno ya jf members,hii ndo jamiiforums bana subira mbele kama bomba la gobole kama hauna subira unaweza kuwa mdogo kama pilton.