Jinsi Viongozi wanavyo pishana na mawazo ya wananchi

BABU KIDUDE

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
1,587
911
Habari ya pasaka. Bado sina chama. Nimekaa Jumapili hii nikiwaza why hii nchi imekwama? Miongoni ya majibu niliyopata nimeona ni share nanyi hapa ruksa kukosoa hama kuongezea palipo na mapungufu ndiyo mungu alivyo tuumba.
1. Kwanza tumefail kwenye elimu
Kimsingi hakuna nchi Duniani inayoweza kupiga hatua bila elimu bora na elimu zalishi. Kwa kiapande hiki elimu yetu ya msingi bado ni tatizo.nawaza badala ya kuanza kudeal na vyuo vikuu ambavyo haviachi MTU hama vinaacha watu wachache sana let's deal na Elimu ya msingi inayo zalisha wajinga na kaucha watanzania wengi sana ambao ndo mzigo wa Taifa hili kwa sasa.
2.Uibuaji wa miradi
Miradi mingi imekuwa isiyo na tija na si inclusive. Serikali viongozi wamekuwa wakiibua miradi amabo si kipaumbele haswaa kwa kundi tajwa hapo juu ambalo ndo tatizo la inchi. Let's say Kule Rukwa na Ruvuma Mwana matatizo ya Roads za kusafilisha mazao kufika kwenye masoko flya over za Dar zinamsadia nini MTU huyu? Zaidi ya kumfanya kuacha kulima naye kuja kuona fly over? Yes Reli mhimu sana ni kweli lakini mradi huku kwa nininusianzie Kyle kwenye shidah sana why uanzie dar to Moro why? Why usianzie Tabora - katavi - songea? Dar Moro bado hakuna tatizo kubwa kiivyoo la usafilisha kama mikoa tajwa. Naamini kufankwa rwli kuliua kilimo pia.
3.Siasa chafu
Tuna viongozi wanao waza sasa 24 hours na kuacha ajenda za msingi wa kulikomboa Taiafa hili. Kuna Vijana wanatetea cha kwa masilai binafsi na ndo wengi time fail kwenye uchumi njianpekee ya wao kujikomboa na maisha ni siasa hii inaelekea kufanya siasa chafu zisizo na mantiki wala maana kwa Taifa. ,...........Nitaendelea baada samahani kwa nimekuudhi hama kukughafilisha...... Kasimi kangu kamchina inawezekana kabisa zipo seheemu nimefanya typing errors s
 
Back
Top Bottom