fahad_salum
Member
- Feb 12, 2018
- 22
- 25
Mkuu nitofautiane na wewe kimtazamoTunafanana na nchi karibu zote Africa ukiondoa Azania (South Africa) so maendeleo yataenda hatua kwa hatua kadri siku zinavyokwenda na population kuongezeka pia.ni kama mtoto anavyokua toka chini kwenda ukubwani.na hiyo haitakaa ikapingika hata tukikuweka wewe uongoze nchi,makosa kadhaa hayaepukiki na yanapotokea hurekebishwa taratibu mpaka tutafika tu.miaka mingine 50 mbele hatutakua hivi hata kidogo,sasa mtu asidhanie mafanikio ya nchi na wananchi ni kama kufungua bomba na yatokee tu ghafla kipindi na yeye akiwa anaishi hapa duniani.inawezekana maendeleo makubwa yakaikuta nchi yetu tukiwa tulishalala makaburini,ni swala la wakati tu,narudia tena hata umuweke nani mamlakani maendeleo ni kama kupanda ngazi,moja baada ya nyingine na maneno mengine mengi ni mbwembwe tu na lawama zisizo na maana
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
ACHA KUJAZA WATU UPUPU. LEO MIAKA 50+ YA UHURU WETU UNATULETEA POROJO ZA AKILI ZA KISHAMBATunafanana na nchi karibu zote Africa ukiondoa Azania (South Africa) so maendeleo yataenda hatua kwa hatua kadri siku zinavyokwenda na population kuongezeka pia.ni kama mtoto anavyokua toka chini kwenda ukubwani.na hiyo haitakaa ikapingika hata tukikuweka wewe uongoze nchi,makosa kadhaa hayaepukiki na yanapotokea hurekebishwa taratibu mpaka tutafika tu.miaka mingine 50 mbele hatutakua hivi hata kidogo,sasa mtu asidhanie mafanikio ya nchi na wananchi ni kama kufungua bomba na yatokee tu ghafla kipindi na yeye akiwa anaishi hapa duniani.inawezekana maendeleo makubwa yakaikuta nchi yetu tukiwa tulishalala makaburini,ni swala la wakati tu,narudia tena hata umuweke nani mamlakani maendeleo ni kama kupanda ngazi,moja baada ya nyingine na maneno mengine mengi ni mbwembwe tu na lawama zisizo na maana
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
kaka Fahad umeongea kitu cha maana sana, niliwahi kusafiri na air tanzania miaka ile walipokuwa na ile air bus tuliyoazimishwa na mchina, nilikuwa natokea dar kwenda mwanza, nilikaa na kaka 1 kama shombe la kiarabu lakini anaishi saudia ila mzaliwa wa mwanza, alisema waarabu wana mafuta tu na wametuzidi mbali sana, sisi tuna madini, mbuga za wanyama, tuna kila kitu cha kutufanya tuwe matajiri, lakini bado ni maskini, nikasema ni kweli, tunashindwa hata kupeleka matangazo kwenye mashirika makubwa kama bbc, cnn, aljazeera watangaze utalii, kisa tu mkono mfupi, jamaa alikuwa analalamika sana mie namsikiliza tu, nikamwambia mie na wewe ndugu hatuna sauti, hata tukipaza vipi bado pesa itapigwa kwa individuals lakini sio serikaliMoja kati ya faida kubwa ambayo CCM inajivunia basi ni kuwa na Taifa lenye ujinga mwingi, watu ambao sio wasomi na umaskini
TAIFA LA WAJINGA
Hapa nasema kwa kuangalia idadi kubwa ya raia hasa kwenye vijiji vya ndani ndani.Nchi ya ahadi hii, ukitaka cheo basi toa ahadi ambayo hatakama huwezi ukaitatua watu watakuchagua.Nashukuru mungu mambo yameanza kubadilika kabisa,watu wameanza kwenda shule lakini tatizo bado lipo kwenye kushadidia Ahadi zisizo na msingi
Kwa taifa kama Tanzania ahadi wananchi tushazichoka tunasubiria vitendo tu.Kwanini ziwe ahadi? Mpaka lini? Kwanini usiwe vitendo?
1:Tumeahidiwa Mil 50 kila kijiji ziko wapi? Kwanini utoe ahadi wakati huwezi ukaifanikisha? Tumechoka N ahadi
2:Viwanda vimejengwa vingapi?
Kwanini ahadi? Ifike stage kila kiongozi anayetaka kupata Cheo basi atoe hoja za kivipi tunaweza tatua changamoto tulizonanazo lakini si ahadi tumechoka
TAIFA MASKINI
Tupo dunia ya 3 kiuchumi. Wananchi wengi wanaishi kwa kutumia chini ya dola kwa siku huu ni umaskini mkubwa.Nasema umaskini unahusika kwa sababu wananchi wengi huishia kupewa kanga za bure, kofia, mashati ya bure na kugawa kura bila haki.Tunadidimia
Tanzania yangu inakila madini, vyanzo vya maji, mbuga za Wanyamapori kwanini bado tupo nyuma hivi?
Kwanini tupo nyuma? Kwanini isiwe ahadi iwe vitendo tu? Hivi ni wapi tumeshindwa? Au ni wapi tumekosea?
Viongozi wanabidi waje na hoja madhubuti ili kuleta mikakati bora ya maendeleo yetu lakini si ahadi tena.Tukiendelea na ahadi tutabaki miaka yote nyuma pasipo kupiga hatua yoyote kwenda mbele.
Kuna sehemu tumekosea in fact tunajidharirisha watanzania.Tuna mali zote hizi bado tupo nyuma tu tunajidharirisha
Usinambie Tanzania tuna maadui kumi wakati tuna maadui wa tatu tu
Umaskini
Ujinga
Maradhi
Sikulaumu..umezaliwa na mtindio wa ubongo,so siyo kosa lakoACHA KUJAZA WATU UPUPU. LEO MIAKA 50+ YA UHURU WETU UNATULETEA POROJO ZA AKILI ZA KISHAMBA
Tangu mia ya 60 tulikuwa hivihivi hata baada ya miaka 60 kupita.Tunafanana na nchi karibu zote Africa ukiondoa Azania (South Africa) so maendeleo yataenda hatua kwa hatua kadri siku zinavyokwenda na population kuongezeka pia.ni kama mtoto anavyokua toka chini kwenda ukubwani.na hiyo haitakaa ikapingika hata tukikuweka wewe uongoze nchi,makosa kadhaa hayaepukiki na yanapotokea hurekebishwa taratibu mpaka tutafika tu.miaka mingine 50 mbele hatutakua hivi hata kidogo,sasa mtu asidhanie mafanikio ya nchi na wananchi ni kama kufungua bomba na yatokee tu ghafla kipindi na yeye akiwa anaishi hapa duniani.inawezekana maendeleo makubwa yakaikuta nchi yetu tukiwa tulishalala makaburini,ni swala la wakati tu,narudia tena hata umuweke nani mamlakani maendeleo ni kama kupanda ngazi,moja baada ya nyingine na maneno mengine mengi ni mbwembwe tu na lawama zisizo na maana
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA