MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,605
Hii ni EDITED video Clip ambayo imesambazwa mitandaoni mara baada ya mashambulizi ya ubelgiji. Kile kinachoitwa utimilivu wa unabii.
Hapa juu anaizungumzia Nchi inayoongea kifaransa akiwa ameondoa maneno yaliyoitaja ufaransa kama nchi husika ili ionekane alizungumzia BRUSSELS ATTACK, Je wakati anatoa huo unabii Aliitaja hiyo nchi?
Angalia ORIGINAL CLIP hapa chini, unabii ulitolewa 31/1/2016
ukimsikiliza anabainisha waziwazi alikuwa anazungumzia UFARANSA (akiitaja mara NNE akionyesha habahatishi), tena anaonya kuwa matukio yatajirudia kama yale yaliyotokea mwishoni mwa 2015.
HEbu hii kitu ukutafakarishe kidogo kwa nia njema kabisa.