Nakupa big up, nimeangalia mpira, sjaona lile goli lilikuwa na shida gani, mi shabiki wa Simba ila naona kama naona refa hajawatendea haki, wale vijana wamecheza kwa juhudi kubwa mno, na nasema tulikuwa hatutoki hakika.Let me declare my interest,Mimi ni Shabiki wa Yanga Mabingwa mara 27 (in Manara's voice 🤣🤣🤣🤣).
Binafsi huwa napenda sana kuona timu yangu ikipata ugumu kupata point kutoka timu pinzani maana ndo utamu wa Soka.Siyo timu inajipigia tu,Nafurahi pia Simba ikihangaika kupata point toka kwa mpenzani maana ndo utamu wa soka.
Kuna tabia imeibuka kwa marefa kuanzia msimu uliopita kuzibeba hizi timu mbili.Binafsi inaniboa sana.Yaan radha ya mpira inaisha,Natamani siku moja siku moja hata Police Tanzania wabebe kombe ili viburi vya watu viishe.
Sijawahi kuikubali ile penalty ya Fei dhidi ya Namungo na leo tena Geita wamenyimwa goli waziwazi.
Hizi timu zinabebwa kuanzia waandishi wa habari,Marefa,Tff,Bodi ya ligi n.k.
Timu inapozikazia hizi timu mbili basi ndo utaona inaanza either kufatilia na watu au kuzungumzwa na wachambuzi.
Yote kwa yote Geita wameupiga mwingi na Refa ndo man of ze mechiiiii na kwa mpira ule wa Simba December 11 tutaona mengi🤣🤣🤣
Kweli mkuu nakuunga mkono, hizi mechi za usiku hizi zinaleta utata sanaBinafsi nina mpango wa ku-pause kuangalia ligi ya bongo, mpaka hapo hali ya marefarii itakapokuwa nzuri
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Swali kwann hizi timu kubwa tu??Kweli mkuu nakuunga mkono, hizi mechi za usiku hizi zinaleta utata sana
Umeme wenyewe wa mgao afu hauna nguvu, spot light zinawaka kwa kufifia.
Next match ikiwa usiku refa aingie na tochi kwa ajili ya mwanga wa ziada tumechoka
Ni makosa ya kibinadamu mkuu, kilichomtokea leo refa pale kwa mkapa ni sawa kabisa na kile kilichomtokea refa aliyeamuru goli la mkono la maradonaNakupa big up, nimeangalia mpira, sjaona lile goli lilikuwa na shida gani, mi shabiki wa Simba ila naona kama naona refa hajawatendea haki, wale vijana wamecheza kwa juhudi kubwa mno, na nasema tulikuwa hatutoki hakika.
Ifike mahali tofauti zetu tuziweke pembeni tudeal na hawa marefa uchwara.Siku ile mimi nilikuwa nishakubal kufungwa na Namungo ila Refa kafanya yake.Nakupa big up, nimeangalia mpira, sjaona lile goli lilikuwa na shida gani, mi shabiki wa Simba ila naona kama naona refa hajawatendea haki, wale vijana wamecheza kwa juhudi kubwa mno, na nasema tulikuwa hatutoki hakika.
refa anakuwa katika high voltage ya preshaSwali kwann hizi timu kubwa tu??
Mkuu ebu leo tujikite kuzungumzia ile penalty iliyosababishwa na feisal halafu na ile penalty iiliyopata faida yanga baada ya kushika mayele
Mimi mwenyewe TFF wakisema tufanye haki kwamba hii mechi ionekane imeisha kwa sare afu ile yenu na namungo iishe mkiwa mmefungwa mimi binafsi nitakubali hayo maamuziIfike mahali tofauti zetu tuziweke pembeni tudeal na hawa marefa uchwara.Siku ile mimi nilikuwa nishakubal kufungwa na Namungo ila Refa kafanya yake.
Huko mbali tuanzie kwa sanya kwanza na kapombe wenu leo..Mkuu ebu leo tujikite kuzungumzia ile penalty iliyosababishwa na feisal halafu na ile penalty iiliyopata faida yanga baada ya kushika mayele
Umeona sasaMaamuzi ya Refa yalikuaje, Ni Kaotea au kafanya Faulo?.
Ukitazama Kwa makini, Yule Mchezaji wa Geita G, kabla hajaruka juuu, mikono yake ilimsukuma Kapombe, na ndio sababu Kapombe pamoja nakuruka juu, Aliishia kuanguka chini, sababu tayari alishatolewa kwa Reli.
Hakuna kuassume yaan ni kupitia games zote zenye utata hata kama Yanga atapoteza zote sawa tu kikubwa akili iwakae.Watu wanacheka kwa kuridhika wenzao wanakaza afu refa anafanya yake.Geita watakuwa wameumia sana.Mimi mwenyewe TFF wakisema tufanye haki kwamba hii mechi ionekane imeisha kwa sare afu ile yenu na namungo iishe mkiwa mmefungwa mimi binafsi nitakubali hayo maamuzi
Lakini sidhani kama wana yanga kwa asilimia kubwa watakubali hicho kitu
Huko mbali tuanzie kwa sanya kwanza na kapombe wenu leo..Mkuu ebu leo tujikite kuzungumzia ile penalty iliyosababishwa na feisal halafu na ile penalty iiliyopata faida yanga baada ya kushika mayele
Huko ndio tatizo liliko anziaHuko mbali tuanzie kwa sanya kwanza na kapombe wenu leo..
Mbona unakimbia mbali?
Macho yako labda yalikuwa na makengeza au ulilewa balimi..Maamuzi ya Refa yalikuaje, Ni Kaotea au kafanya Faulo?.