Jinsi nilivyonusurika kupata HIV

Kwa hiyo umepata hasara kimasihara
 
Kuna tatizo mahala. Atakuwa ni mjinga kiasi cha kuja kufanya vipimo hapo kwako bila kujipima mwenyewe kwanza na vipimo ni vyake? Au isije ikawa mlichanganya vipimo. Embu pima tena maana umesema kinga hupendi.🤔
Chai hiyo wewe ipotezee kama sisi wengine
 
Chai hiyo wewe ipotezee kama sisi wengine
Bro, sio kila kinacholetwa ukiwa hujakiamini ww basi ulazimishe wengine wasiamini na kutoa mawazo yao, huo ni ubinafsi
 
Siyo kila mwenye HIV anaweza kukuambukiza, ingekua hivyo nadhani hata kuku zingeugua HIV

Kwenye gonjwa hili nadhani iko namna ya maneno mengi sana kuzidi uhalisia, ugonjwa upo kweli lakini kiasi chake na namna unavyo ambukizwa hasa Kwa kujamiana, aisee namna ya mnyororo ulivyo wa ngono asingekuwepo mzima
 
Hebu tupe muongozo mkuu
 
Hujajifunza kuacha eee
Hiyo ni Mungu tu kakuokoa hamna umakini wowote uliokuwa nao
 

Sahihi mkuu...
Nimeishi na mtu mwenye HIV miezi mitatu bila kujua, yeye ameishi na huu ugonjwa 10 years...

Lkn sikupata maambukizi pamoja na show za kibabe na michubuko kadhaa iliyotokea nikiwa na shave...

Nitaleta huo mkasa hapa nikipata mda...

Tangu siku hiyo siuogopi tena ukimwi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…