Jinsi nilivyofilisika

Nmekuelewa mkuu ila ukisoma vizuri hapo utaona kua hilo tukio lilitokea mwaka jana, mwaka juzi kwa maana ya 2019 October ndo niliweka 90% ya hela yangu yote kwasabab nilikua nmeshakaa kule sana hvyo nilijua mzunguko wake

Mwaka Jana mwez wa 1 ndo nikarudi tz nta attach picha ya muhuri wa custom unao onesha tareh niliyoingia huku

So hapo unaona jinsi gan hizo 10% nilivyokua nazitumia,badae nilikuja kufunga ofisi yani sikuamin kujinyima kote na kukusanya hela afu ingepotea vile so kati mengi yalitokea ambayo yalikua sio muhimu nafikiri ukiisoma upya utaelewa mkuu
 

Attachments

  • IMG_20210302_182933_610.jpg
    313.1 KB · Views: 12
so wakat ipo peak hukuwekeza hatankwa kujenga kibanda cha uani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…