Jinsi nilivyofilisika

Kwanini hukuwekeza labda kweny ardhi au mali zisizohamishik ili zikusaidie kipind hik
 
Mkuu ina maana u.lmeshindwa kabisa kuwaambia watu kuwa ulikuwa unazalisha viatu vya ngozi? Kinachokufanya ufiche ni kitu gani?? Tegeta kwa ndevu umehama?
Sipo hapo kwasasa, kwann wewe umeshindwa kuandika jina lako halisi na kuweka picha yako ?
 
kwas
Kwann hukuwekeza labda kweny ardhi au mali zisizohamishik ili zikusaidie kipind hik
Kwasabab sikua mbele ya muda mkuu ili kujua nn kitafata pia faida niliyokua naipata nilikua nairudisha kwenye biashara ili ikue zaidi
 
Mkuu ina maana u.lmeshindwa kabisa kuwaambia watu kuwa ulikuwa unazalisha viatu vya ngozi? Kinachokufanya ufiche ni kitu gani?? Tegeta kwa ndevu umehama?
Mkuu siyumwe naomba nipe idea na mimi niweze kutengeneza hivi viatu ..amini kwamba sitaingilia soko lako kabisa mkuu. Kama vip nikucheki PM tuyajenge

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
kwas

kwasabab sikua mbele ya muda mkuu ili kujua nn kitafata pia faida niliyokua naipata nilikua nairudisha kwenye biashara ili ikue zaidi
Tunajifunza kutokana na makosa

Next time wekeza na sehem nyingne kwa ajili ya back up ukitoa Mungu hakuna kitu kingne unatakiwa kukiamin 100% iwe ni biashara au watu na hata vitu pia

Mapambn yaendelee
 
Tunajifunza kutokana na makosa

Next time wekeza na sehem nyingne kwa ajili ya back up ukitoa Mungu hakuna kitu kingne unatakiwa kukiamin 100% iwe ni biashara au watu na hata vitu pia

Mapambn yaendelee
Shukran mkuu, ukitoa Mungu kitu kingine ambacho inabidi tukiamini 100% ni KIFO tu kiongozi

kwamba kuna siku moja tu lazima TUFE
 
Maisha Yana Siri nyingi,kikubwa usikate tamaa pambana,maana uko mlango mwingine Ni kazi yako kuutafuta.
Hongera Sana umelipia school fees.Umeshahitimu course muhimu Sana.
 
Mbona umri wako bado na hauna ata familia,, ingia mapambanoni round ya pili sio lazima iwe ileile komaa wacha kulalama. Ata familia hauna 25 old..

You're too young to give up
 
Change your paradigm and you life will change permanently
 
Tough Times Never Last But Tough People Do. Never Give Up My Friend.
 
Kuamini mtu/watu kwa 100% ni hatari sana

Bado una uwezo wa kutoka kimaisha,kupitia biashara hiyo ulliyokuwa unaifanya

Vipi kuhusu hiyo 10% ,maana umesema umepoteza 90%, anzia na hiyo asilimia iliyobaki uinuke tena ...urudi kule kwenye kuchuuza kabla ya kuzalisha mwenyewe

Japo unasema umepoteza 90% ya mtaji, lakini ninachokiona hapo una asilimia zaidi ya 10% unayodhani umebaki nayo...UZOEFU ULIO NAO KWENYE HIYO BIASHARA MTAJI TOSHA

Pia kama mtu ana mtaji na akakuamini kutoka humu mnaweza fanya biashara, lakini itabidi akubali ku gumble maana biashara yoyote ni some sort of gambling.






Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…