Jinsi nilivyofilisika

Vitendea kazi vipo niliuzaga mashine moja tu ila haiathir sana uzalishaji, soko la ndani lipo vizuri bado japo mm siku base sana na la ndan maana niliona ushindani mkubwa na huwa sipend competition so nilijikita na kutafuta nje zaidi
Nimefuatilia nyuzi zako za nyuma nanimejua ulikuwa unatengeneza bidhaa gani.

Nimevutiwa endapo kama tutaweza kufanya kazi wote bila kuathiri mtaji wangu. Ila endapo kama mtaji utakuwa ndani ya uwezo wangu. Au hiyo biashara umeichoka.
 
Nimefuatilia nyuzi zako za nyuma nanimejua ulikuwa unatengeneza bidhaa gani.

Nimevutiwa endapo kama tutaweza kufanya kazi wote bila kuathiri mtaji wangu. Ila endapo kama mtaji utakuwa ndani ya uwezo wangu. Au hiyo biashara umeichoka.
Nashukuru mkuu kwa kufatilia nyuzi zangu za nyuma, binafs biashara bado sijaichoka kwakua sijatimiza hata 10% ya nilichoona biashara inaweza kunifikisha,ukiachana na hyo bidhaa kwenye hiyo sector nzima unaweza kutengeneza bidhaa zaidi ya 5 na ukiachana na faida ya hela pia unatoa ajira kwa vijana wengi wa kitanzania na kurahisisha maisha ya watu maana hakuna binadamu anayeweza kuzikwepa hizo bidhaa
 
tatizo ni hizo X,Y,Z.Ugeziondoa hizo usingefilisika kama kicwa cha andiko lako kinavosema
 
tatizo ni hizo X,Y,Z.Ugeziondoa hizo usingefilisika kama kicwa cha andiko lako kinavosema
Ukipitia nyuzi zangu za nyuma 2017 mpaka 19 hizo X Y Z zipo kama utaweza kuunganisha dots
 
Unaweza funguka zaidi ilikuaje jamaa yako alisema hawezi enda tena hiyo nchi licha ya kumhangaikia sana?
 
Nakuomba pm unielezee mchanganuo wa biashara namatokeo yanaonekana baada ya mda gani, namtaji wakuanzia unatakiwa shingap
 
tatizo ni hizo X,Y,Z.Ugeziondoa hizo usingefilisika kama kicwa cha andiko lako kinavosema
ukipitia nyuzi zangu za nyuma 2017 mpaka 19 hizo X Y Z zipo kama utaweza kuunganisha dots
Mkuu,Nakuelewa.Ila kwa lengo la andiko lako uneweka tu hizo dots.Huenda ungepata ushauri BORA kabisa.Mfano.Kuna mtu anaweza kuwa anataka kuinvest na anataka kufanya kazi na wewe ila ukiwekeaa dots anaweka ? na!.

Ila all in bado hujafikia wakati wa kufilisika bali uko katika safari ya kutajirika na hapo uko mapumzikoni.Cha kufanya ni kujiandaa kwa hatua ya Pili.Ukiwaza kuwa umefilisika wakati bado hujatajirika una hatari sana ya kuchelewa kutajirika.

Lazima uelewa maana ya kutajirika.Fukara huwa hafilisiki.Wewe ulikuwa katika safari ya utafutaji ukakutana na changamoto ambazo najua zimekufundisha mengi ambayo ukiamua unaweza kuibuka tena with new strength.Nakutakia kila la heri ila Ondoa XYZ utakuja kunishukuru.
 
Unaweza funguka zaidi ilikuaje jamaa yako alisema hawezi enda tena hiyo nchi licha ya kumhangaikia sana?
Jamaa alinitia mashaka kidogo baada ya kuona mchakatoa wa passport kubwa ni mrefu nikamwambia achukue ndogo kwakua hiyo kubwa imesubili kutoka tu wakati yy akisafir mpaka kurudi tena ile itakua imeshatoka tutakua tume save mda ila yeye alinijibu hayo hayakua makubaliano yetu so sikutaka kulazimisha sana baada ya yy kunifahamisha ameshapata tayari nikamwambia unakuja lini nikutumie hela akasema ntakupa taarifa ndo kipind cha vugu vugu za line kufungwa

Baada ya wiki mbili niliamua kurudi ili line zangu zisifungwe wakat nipo njian akanitumia msg kua yupo tayar kwa safari nikamwambia siku inayofata ntakua Dar njoo napokaa alikuja nikampa line za kule hela ya nauli na kujikimu na nikamuunganisha atapofikia so akasema baada ya siku moja ata safiri ila ilipita wiki na nusu kuna siku nilimpigia ndo kaniambia ndugu zake wamemwambia abaki kwanza na wakat tunafatilia process zote ndugu zake walikua wanajua ila nikamwambia anitumie hela nilizompa na anirudishie line alifanya hivyo ikawa mwisho wetu ila ukiunganisha dots tu utagundua kitu
 
Sawa boss nimekuelewa na shukran sana kwa ushauli
 
Mkuu achana na habari za dots.Wewe ni mpambanaji ila kuna kitu unakikwepa na ndio sababu kubwa ya kujikuta katika dilemma za kibiashara.Mark my words.You can be the next rich mana ukiachana na hizo dots.I can see it in your writing style
 
Huyo jamaa yako pimbi sana ipo siku atagundua jinsi ndugu wasivyonamaana ktk kuamua maisha ya mtu na atajilaumu sana. By the way hongera kwa kuona fursa nje ya mipaka kitu adim sana hii kwa sisi vijana. Na uamini kwamba bado haujafeli ila umeanguka kwa sababu maalum kujenga misuli mipya na kuepushwa na mabaya zaidi yalokua mbele yako. Naamini utapata mwanzo mpya kupitia forum hii yenye watu wengi wanaoiona spirit yako ya upambanaji.
 
Mkuu achana na habari za dots.Wewe ni mpambanaji ila kuna kitu unakikwepa na ndio sababu kubwa ya kujikuta katika dilemma za kibiashara.Mark my words.You can be the next rich mana ukiachana na hizo dots.I can see it in your writing style
Shukran mkuu ila ningependa unifahamishe zaidi ulichoona nakikwepa huenda nikirekebisha ntafika mbali sana,ntashukuru kwa hilo
 
Shukran sana mkuu binafs jamii forum naiheshim sana humu napataga nondo nyingi sana hata wazo langu la kutoka nje ya tz nilipata huku pia nikalifanyia kazi
 
Mkuu ina maana u.lmeshindwa kabisa kuwaambia watu kuwa ulikuwa unazalisha viatu vya ngozi? Kinachokufanya ufiche ni kitu gani?? Tegeta kwa ndevu umehama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…