Jinsi nilivyofilisika

Nimekuelwea mkuu ila kuna baadhi ya nyuzi niliitaja biashara so kulinda identity kwa mawazo yangu madogo nikaamua kuficha baadh ya vitu ikiwemo bidhaa pamoja na location
 
Sure mkuu yaani mpaka nimekuja kukubali hali halisi imenichukua muda sana yaani kila siku naona giza linazidi tu.
 
Sure mkuu yani mpaka nmekuja kukubali hali halisi imenichukua mda sana yan kila siku naona giza linazid tu
Pole sana Mwamba! Niamini mimi wewe utaingia kaburini ukiwa tajiri, it's a matter of time tu, usikate tamaa! YA MUNGU MENGI, KUKU YAKE MAYAI TU.
 
Wabongo wengi wana mapungufu kwenye ushirika kwa sababu ya uvivu na tamaa, ila sio wote, na muhimu ni kuweka kila kitu kwenye karatasi mwanzoni kabisa, na lazima uwe na mwanasheria, na auditor wa kukushauri, sio mpaka uwe na company.
Ulichosema cha kweli boss, changamoto wengi tunafanya biashara na hatuna mtu wa kutu guide unaweza ona unaenda mbele kumbe unachokifanya ilibid usubili kwanza ila kuwai kukakuponza ukakata mtaji mpema
 
Pole sana Mwamba! Niamini Mimi wewe utaingia kaburini ukiwa tajiri, it's a matter of time tu, usikate tamaa! YA MUNGU MENGI, KUKU YAKE MAYAI TU.
Iwe hivyo mkuu👊
 
Mdogo angu usikate tamaa, hata siku moja, amini bado unaweza na bado una uwezo wa kutimiza ndoto zako, jiami, wekeza katika kutimiza malengo yako. No matter how many times you will fail, believe in yourself and don't hesitate to start again. Everything in life happens according to our time, and for a reasons, labda haikuwa muda wako sahihi wa kutoboa lakini naiona kesho yako iliyojaa mafanikio, muhimu kutokukata tamaa. And Do not let anyone rush you with their timelines, still at the age of 25 you have a lot to accomplish. Enjoy the rest of the day and stay strong.
 
Shukrani mkuu, binafsi bado sijakata tamaa kwenye ndoto zangu ila kwanza nilikua naangalia namna hata ya kupata basic needs kabla sijaanza kupanga mengine
 
Kwa nini usirejelee production ukaanza mdogo mdogo
Ishu nilikata mtaji na kwenye production mm sikua mzalishaji ila nilitafuta watu wanaoweza kupiga kazi ambapo nilikua na cover cost zote za production so mda mwingi nilikua na deal kutafuta wateja na kuangalia ofisi isiyumbe na kwa jinsi gani nitajitanua niwafikie watu wengi zaidi so huwezi ukaanza mdogo mdogo bila kuwa na kianzio ikiwa saiv tu kupata mahitaji muhimu ni shida
 
Nilichojifunza tatizo sio partnership ila biashara imefika katika hatua gan mpaka ufanye partnership kumbuka hakuna biashara kubwa utakayo weza kufanya ukiwa ww kama ww

Jibu zuri sana. Kosa la biashara nyingi za Kitanzania ni mtazamo kama wa huyo jamaa wa kwanza. Mtu anataka kila kitu afanye yeye anaishia kukwama. Anapata pressure sukari anakufa kwa madeni.

Angalizo unahitajika umakini sana kuchagua partner wa biashara. Usichague partner kwa sababu tu mmesoma wote, chagua partner kwa kuangalia wekness zako na strength za partner kwenye biashara yako, mkishirikiana mnatoka?
 
Naichukua hii
 
Mkuu juu huko umesema ulinunua hadi vitendea kazi, Kwahiyo vitendea kazi unavyo bado? Na vipi biashara kwa soko la ndani bado lipo vzr? au nasoko sio zuri kwa sasa?
 
Sure mkuu kingine cha kuongezea ni bora kufanya kazi na mtu kwa malipo kuliko ile tufanye tukitoboa tunatoboa wote ni ngum sana kumpata mtu atakae ona maono yako na kuyaishi ili muweze kufika inapotakiwa la sivyo unaweza kupiga hesab ya watu wawili na mkapanga vizuri kumbe mwenzako amejishikiza tu kwako kwa mda ana hesabu zake kichwani
 
Mkuu juu huko umesema ulinunua hadi vitendea kazi, Kwahiyo vitendea kazi unavyo bado? Na vipi biashara kwa soko la ndani bado lipo vzr? au nasoko sio zuri kwa sasa?
Vitendea kazi vipo niliuzaga mashine moja tu ila haiathir sana uzalishaji, soko la ndani lipo vizuri bado japo mm siku base sana na la ndan maana niliona ushindani mkubwa na huwa sipend competition so nilijikita na kutafuta nje zaidi
 
Vitendea kazi vipo niliuzaga mashine moja tu ila haiathir sana uzalishaji, soko la ndani lipo vizuri bado japo mm siku base sana na la ndan maana niliona ushindani mkubwa na huwa sipend competition so nilijikita na kutafuta nje zaidi

Kwa hiyo kwa sasa hivi ili wewe uamke tena mkuu unahitaji nini na nini? Kama hutojali tuwasiliane tuone kama tunaweza amka pamoja.
 
Kwa hiyo kwa sasa hivi ili wewe uamke tena mkuu unahitaji nini na nini? Kama hutojali tuwasiliane tuone kama tunaweza amka pamoja.
Nakutumia mawasilaino yangu pm mkuu but basically ni mtaji na ntakupa raman nzima uone kuna fursa kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…