Wakuu ,kama mnavyoona hapa naandika mdaa huu ni karib saa nane za usiku,leo nilikua najipumzisha samak samak ,nilienda bila mwenza leo kwasabab zangu binafsi,..sasa muda wa kuondoka,kuna madada wa3 wakawa nao wanaondoka,sasa mim nilikua na card naenda lipia parking ndipo niliwaona hawa mabint wamenona haswaa,nkapaza saut nkawaambia i can give u a ride bytheway darlings,sasa tamaa mimacho yangu ikashindwa chagua fasta fasta yup ni yup,wale wadada walisimama nakunisikiliza,tukaongea pale mawil ma3,sasa nkamchagua m1,alikua amenona pia,..wengne wale wakabak wanacheka,sasa kumbe yule niliechagua yuko engaged bwana,skuiona pete,akanionyesha pete,daah,nilihamak,sasa nkasema hapa siwez toka kapa,nkaomba ya mwingne kama mbadala,..dah,alicheka af akanambia am sorry ,ungenianza mim ningekupa ila siwez kua an Option,daah niliumia sana.somo,usiache mbachao kwa msala upitao.
Hawa sio ma biatchy,..kumbuka pale samak samak ni karib na vyuo viwil vikubwa,na wale kwa mtazamo wangu ni wanavyuo wale,watoto flan wakishua,ngoz lain sio ya kujichubua,..na hku dar ni kawaida sana,..labda huko kolomijeAisee kweli tupo tofauti!! yaani unatafuta mademu saa 8 usiku?? Na unajuta kuwakosa?
Hawa sio ma biatchy,..kumbuka pale samak samak ni karib na vyuo viwil vikubwa,na wale kwa mtazamo wangu ni wanavyuo wale,watoto flan wakishua,ngoz lain sio ya kujichubua,..na hku dar ni kawaida sana,..labda huko kolomije
Mkuu, vyuo vimefunga watoto wapo field. Labda hao ni lecturersHawa sio ma biatchy,..kumbuka pale samak samak ni karib na vyuo viwil vikubwa,na wale kwa mtazamo wangu ni wanavyuo wale,watoto flan wakishua,ngoz lain sio ya kujichubua,..na hku dar ni kawaida sana,..labda huko kolomije
Unavyodhani bitch wa dar ni akina nani?Hawa sio ma biatchy,..kumbuka pale samak samak ni karib na vyuo viwil vikubwa,na wale kwa mtazamo wangu ni wanavyuo wale,watoto flan wakishua,ngoz lain sio ya kujichubua,..na hku dar ni kawaida sana,..labda huko kolomije
... ndipo niliwaona hawa mabint wamenona haswaa,nkapaza saut nkawaambia i can give u a ride bytheway darlings,sasa tamaa mimacho yangu ikashindwa chagua fasta fasta yup ni yup,wale wadada walisimama nakunisikiliza,tukaongea pale mawil ma3,sasa nkamchagua m1,alikua amenona pia,..
sasa hivi tunasumbuliwa na watu wasiojulikana.Me nikahisi may b bombardier umeipeperusha, kumbe unajilaumu ata watu usiowajua[emoji41]
Huyo aliekwambia hawezi kuwa an option alikuwa anakupima tu unaweza kukuta analiwa na mme wa mtu,shemeji yake etc...hata pete sio sababu ya kukata tamaa wanaliwa wake za watu itakuwa mchumba!
I miss u....🙂sasa hivi tunasumbuliwa na watu wasiojulikana.