Mimi ni kijana ninayekaribia miaka 20 sasa lakini kutokana na kuwa na mwili mdogo, naonekana kama mtoto wa miaka 16 na mara nyingi nimekuwa nikikataliwa ninapoenda kuomba kazi, inaniuma sana ..
Bila shaka we we utakuwa wa pwani au nyanda za juu kusini.Moro,njombe,mbeya kuna watu wana mili midogo sana huku wanachakula king I sijui kwa mini.Walau wanyakyusa wanajitahidi kidogo ila waking a,wasafa,wamalila,no mh!!!!