Imefanikiwa kwa sababu watu wengi hawakuwa wameunganishwa kwenye huduma za kibenki na kutokana na hilo ilikuwa ni rahisi kutuma pesa in real time na haikuhitaji mtu kuwa na smartphone au internet. Ile implimentation ya Ussd ilisolve mengi. Ukitaka kujua hilo, japo mitandao ya simu imeunda app za mobile money na watu wana smartphone bado watu wako addicted na ussd.Mpesa hata south africa ilifeli vibaya sana Sijui ni vp East africa imefanikiwa
Unajua hasara ambayo makampuni ya ATM,VISA yangepata? Wazungu wajanja sana hulinda tech zao zisife na kipata hasara.Katika ubunifu ambao umefanikiwa sana Afrika ni mobile money hasa ikizaliwa kutoka Safaricom Mpesa. Ubunifu huu tofauti na ubunifu uliozoeleka kuanzia ulaya ukaletwa Afrika, huu ulitengenezwa mahususi kwa mazingira ya kiafrika na ndio maana mbile money imefanikiwa sana afrika.
Vodafone kuona mafanikio haya akaamua kuexpand Mpesa na kuipeleka kwenye sokoa la Ulaya. Mwaka 2014 ikawa launched kwa mara ya kwanza nchini Romania akilenga itumiwe na wateja milion 7 aliokuwa nao huko Romania.
Lakini tofauti na Afrika, Waromania hii huduma hawakuipenda yani waliona haiwezi kuwa mbadala wa huduma nyingone walizonazo za masuala ya pesa.
Kufikia 2018 M-pesa ya Romania ilikuwa ikitengeneza hasarana kupelekea Vodafone kusitisha hii huduma kabisa na mpango wao wa kuisambaza Ulaya.
Funzo ni kwamba, kila product inabidi iendane na mazingira husika na ndio maana developers wengi wanacopy apps za nje wanatengeneza zao tofauti jina baada ya miezi wanaachana nazo amaana watu hawazitumii.
Ilifail kwa sababu haikutengenezwa kwa mazingira yao wala si propaganda. Toka mwanzo lengo la mpesa ilikuwa ni kuwahudumia watu ambao hawana huduma za kibenki na limited access na internet.Unajua hasara ambayo makampuni ya ATM,VISA yangepata? Wazungu wajanja sana hulinda tech zao zisife na kipata hasara.
Sawa na 5G ilipozinduliwa China kabla ya ulaya, ilipigwa propaganda ili kuizuia Huawei kuua kampuni za ulaya.
Mashart waliopewa Huawei wauze/copyright.
Kilichojiri tunajua wote.
Huoni kutokwenda bank kunaokoa muda? Kwa hio wazungu hawapendi kuokoa muda?Ilifail kwa sababu haikutengenezwa kwa mazingira yao wala si propaganda. Toka mwanzo lengo la mpesa ilikuwa ni kuwahudumia watu ambao hawana huduma za kibenki na limited access na internet.
Wewe jamaa ni mshamba uliyejaa conspiracy theories. Hebu soma maelezo ya wachangiaji huko juu upate elimu ya bite kwanini mpesa hata hapo South Africa tu imefeli vibaya sana.Huoni kutokwenda bank kunaokoa muda? Kwa hio wazungu hawapendi kuokoa muda?
Wana internet, wanawaweza lipa vitu online kwa kutumia card za bank, wanaweza kulipa vitu popote kwa kutumia kadi, now hata kwa simu kwa kusogeza simu na kifaa kilichoconnected na kadi zao, wana huduma nyingi za kuconnect kadi au benki zao zinazotoa cashback so hiyo ina maana hawana haja ya kwenda benki na huduma zao ziko reliable zaidi. Pia kumbuka wana huduma za credit card.Huoni kutokwenda bank kunaokoa muda? Kwa hio wazungu hawapendi kuokoa muda?
Ilifail kwa sababu hebu fikiria ni simple tu.mimi nadhani ni mifumo tu ya kulinda system nyingine za kifedha za huko kwao..
Mfano huku kwetu elon musk alivyotaka kuleta internet yk imekuwa blocked na nchi nyingi kwa sababu teyari kuna mifumo ya internet na serikali imekopa billioni of money kwa ajili ya mifumo hiyo kuruhusu ushindani ambao utaiuwa mifumo hiyo ni hatari na hasara kubwa kwa serikali.
Kutumia kadi na kutumia karatasi ya mpesa ipi ni rahisi na gharama nafuu ktk uendeshaji?Wana internet, wanawaweza lipa vitu online kwa kutumia card za bank, wanaweza kulipa vitu popote kwa kutumia kadi, now hata kwa simu kwa kusogeza simu na kifaa kilichoconnected na kadi zao, wana huduma nyingi za kuconnect kadi au benki zao zinazotoa cashback so hiyo ina maana hawana haja ya kwenda benki na huduma zao ziko reliable zaidi. Pia kumbuka wana huduma za credit card.
Unaongelea gharama hizo Afrika sio kwao wao. Kwa wao ni gharama ziko cheap kuliko gharama unazokatwa na bank yao na bado wanakupa cashback bonus. Na kumbuka sio lazima utembee na ATM. mimi mfano nina atm ya payoneer toka wanitumie sijawahi hata kwenda kuichukua nilicho nacho ni namba za kadi na CVV na bado naitumia nimeconnect na apps payment za simu.Kutumia kadi na kutumia karatasi ya mpesa ipi ni rahisi na gharama nafuu ktk uendeshaji?
Li ATM mashine lina gharamai kubwa. Max malipo ilikufa kwa sababu gani.
Malipo yalikuwa more digitized kuliko Max malipo.
Transaction ya card ina makolokolo mengii wakati mpesa ni simple tu simu ya elf 15.
Hayo makorokoro yako uliotaja hap siyaelewi
Uendesgaji wake una gharama.
Mpesa bado ipo mbele ya hayo makolokolo.
Ulaya wameachwa mbali sana na China ktk mfumo wa pesa, wao wanaamini ukiritimba na sio ubora na gharama.