Jinsi Matendo yanavyoathiri taswira ya Mpenzi au Mwenza

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,955
11,345
Wakuu, asalaam aleykum

Wikendi nilikwenda kwenye shughuli moja safi sana.... sasa katika shughuli kuna jamaa wageni wa sherehe walisimama kujitambulisha... they looked very beautiful together na kweli walipendeza na walionekana wenye furaha sana

Kama kawaida kamawazo kakanijia kwani huyo baba ni full kicheche wakati mkewe ni mtulivu na mcha mungu. Nikaanza kuvusha huku nikiona jinsi mama alivyomfanya jamaa aonekane gentleman pale mbele za watu tofauti kabisa na jinsi alivyo... he really looked better

sasa nauliza, je hivi kuna namna ambayo sisi wanaume kama ni vicheche tunapoonekana na wake zetu wao kuonekana vicheche pia au zaidi sisi husaidia kutoa taswira ya innocence kwa hawa mamsapu?
 
Mkuu DN
Kwa mfano fikiria mtu angekuwa hamjui kabisa huyu baba na kuhudhuria hiyo sherehe, je angeweza kutambua/kuhisi jamaa ni kicheche?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…