Sitasahau japo imetokea karibu miaka mitatu iliyopita, huwa nina mazoea ya kwenda kwenye baa moja mida ya jioni baada ya kutoka kwenye mihangaiko au siku za mapumziko, hali hii ilisababisha kuzoeana na wahudumu karibu wote wa baa ile especially huyo ambaye alikuwa akijulikana kama mama Lucy ambaye alikuwa kaunta.
Kama ilivyo ada kwa wanaume, nikaomba gemu, mama Lucy hakuwa na hiyana, akanikubalia, shida ikawa kwenye utekelezaji wa appointment yetu, kila tukipanga analeta visingizio, leo wateja wamezidi, kesho naumwa, kesho kutwa kuna mgeni home nk, hadi nikachukia, nikawa simsalimii na wala ofa ya bia simpi, pia nikapunguza sana mahudhurio kwenye baa ile.
Maisha yakasonga, muda si mwingi zikaanza kusikika rumours kuwa mama lucy 'ameumia' na mambo yetu haya, baada ya muda si mrefu hali yake ikaanza kuwa dhaifu kiasi kwamba ikabidi arudishwe kwao na hivi karibuni kuna habari kuwa mama Lucy hatunae tena, kumbe aliamua kuniponya ki-dizaini.
Alazwe pema peponi, Amen
alikuwa na makusudi ya kuniponya,nadhani alijua hali yake.haiwezekani abanwe na ratiba kila siku.aliamua kukuponya au ratiba zilimbana, we mshukuru Mungu wako kwa kuweka vikwazo sio kumshukuru mama lucy alikuponya vipi wakati alikubali kukupa game
Riziki ya mtu ipo mikononi mwa mtu. Iweni watu wa shukrani. Ni sawa kumshukuru Mungu lkn kwanza yule aliyetumiwa na Mungu. Yule binadamu mwenzako unayemuona. Lolote utakalomtendea mmojawapo wa wadogo hawa umenitendea mimi...aliamua kukuponya au ratiba zilimbana, we mshukuru Mungu wako kwa kuweka vikwazo sio kumshukuru mama lucy alikuponya vipi wakati alikubali kukupa game
Alidhamiria kukuponya.Wanawakev wengi waathirika wanahuruma sana.alikuwa na makusudi ya kuniponya,nadhani alijua hali yake.haiwezekani abanwe na ratiba kila siku.
huwa inategemea,kama ni mara moja,mbili hadi tatu,huwa kuna hofu hivyo kutumia viatu,lakini mahusiano yanapodumu muda mrefu kana imani ya namna fulani ya kuaminiana hujengeka hivyo kupelekea kuzama 'laivu'hivi angekupa ungezama bila viatu?
[emoji1]mkuu inatakiwa uhudhurie msiba personally