Jinsi Jirani alivyoliwa Mkewe na Jank wa Field

Ndugu yangu anaishi mkoa mmoja km karibu 700 toka yalipo makazi yake huku anafanua kazi. Huku kamuacha mkewe, Kwa kuwa ananyumba kumbwa na nyingine za kuzunguka amepangisha wapangaji kadhaa. Mmoja wa wapangaji miezi kama 3 iliyopita alimleta mpwa wake ili afanue Field katika taasisi anayofanyia kazi.

Basi bhana kijana toka Chuo kadondoka fresh na kuanza kufanya kilichomleta pande hizi. Mother House ambaye ni mzaliwa wa mwaka 86 na mama wa mtoto mmoja ni mtu mwema na mkarimu, kumbuka yule jank wa Field Uncle wake ni mtu wa kazi sana na anasafiri mara kwa mara na anaishi msela mkewe naye yuko DSM Hivyo muda mwingi Jank wa Field anakuwa Peke yake, huku na huku ukazaliwa urafiki baina ya Mother house na jank, Mara Jank anaitwa achukue misosi mara juice nk.

Mara wanacheki tamthiliya hadi mida mirefu. Huku na huko Jank akamaliza Field yake na muda wa chuo kufungua ukawa. Basi bwana asubuhi wapangaji wote wapo makazini home anabaki Mother House na Jack wa field anayekaa kwa Uncle wake.

Siku moja mimi sikwenda kazini kama kawaida yangu basi nikawa chumbani kwangu ila pazia nimelivuta upande. Wa nje hawezi ona ndani ila wandani. Mwendo kama wa saa nne asubuhi hivi nikiwa najipatia kifungua kinywa nikamuona yule jank akimgongea Mother house, wakawa wanaongea pale mlangoni, ila Jank ni kama akawa anamsisitizia jambo na akarudi Ndani kwa Uncle wake.

Nikaendelea kutazama huku machale yakinicheza. Baada ya sekunde kadhaa yule mother house kama mshale akazama kwa Jank baada ya kuangaza jicho kushoto na kulia kiusalama. Mlango ukafungwa Paaaa. Kama nusu saa hivi Akatoka jank uwanjani akazugazuga kucheki usalama akarudi na kumchomoa Bibie akiwa ndani ya dela.

Dhaaa roho iliniuma kama nimetafuniwa mimi. Sema nini kitu ambacho Jank hajua ni kuwa MotherHouse na mumewe(Bro)wote ni POSITIVE na wanatumia dawa mwaka wa 3 sasa.
Pole mzee ukute ni wewe zingatia dawa
 
Muda si mrefu jank anaanza kula kande...ila fresh nzi kufia kidondani ni ushujaa.
 
Tukoni pmj.bado siku 2
IMG_20201025_165051.jpg
 
.acha dogo amchakate mother house sasa kama mother house kamlegezea dogo dgo asipige alaf na je kama dogo altumia ndomu au na yy dogo kawaka inakua bila bila
 
Ndugu yangu anaishi mkoa mmoja km karibu 700 toka yalipo makazi yake huku anafanua kazi. Huku kamuacha mkewe, Kwa kuwa ananyumba kumbwa na nyingine za kuzunguka amepangisha wapangaji kadhaa. Mmoja wa wapangaji miezi kama 3 iliyopita alimleta mpwa wake ili afanue Field katika taasisi anayofanyia kazi.

Basi bhana kijana toka Chuo kadondoka fresh na kuanza kufanya kilichomleta pande hizi. Mother House ambaye ni mzaliwa wa mwaka 86 na mama wa mtoto mmoja ni mtu mwema na mkarimu, kumbuka yule jank wa Field Uncle wake ni mtu wa kazi sana na anasafiri mara kwa mara na anaishi msela mkewe naye yuko DSM Hivyo muda mwingi Jank wa Field anakuwa Peke yake, huku na huku ukazaliwa urafiki baina ya Mother house na jank, Mara Jank anaitwa achukue misosi mara juice nk.

Mara wanacheki tamthiliya hadi mida mirefu. Huku na huko Jank akamaliza Field yake na muda wa chuo kufungua ukawa. Basi bwana asubuhi wapangaji wote wapo makazini home anabaki Mother House na Jack wa field anayekaa kwa Uncle wake.

Siku moja mimi sikwenda kazini kama kawaida yangu basi nikawa chumbani kwangu ila pazia nimelivuta upande. Wa nje hawezi ona ndani ila wandani. Mwendo kama wa saa nne asubuhi hivi nikiwa najipatia kifungua kinywa nikamuona yule jank akimgongea Mother house, wakawa wanaongea pale mlangoni, ila Jank ni kama akawa anamsisitizia jambo na akarudi Ndani kwa Uncle wake.

Nikaendelea kutazama huku machale yakinicheza. Baada ya sekunde kadhaa yule mother house kama mshale akazama kwa Jank baada ya kuangaza jicho kushoto na kulia kiusalama. Mlango ukafungwa Paaaa. Kama nusu saa hivi Akatoka jank uwanjani akazugazuga kucheki usalama akarudi na kumchomoa Bibie akiwa ndani ya dela.

Dhaaa roho iliniuma kama nimetafuniwa mimi. Sema nini kitu ambacho Jank hajua ni kuwa MotherHouse na mumewe(Bro)wote ni POSITIVE na wanatumia dawa mwaka wa 3 sasa.
Mamaaaaaaaaa, Dogo ana ngoja kwahiyo??
 
Walishaambiwa wasioe HAWASIKII.😏😏
Millennial woman kutulia WE UMESIKIA WAPI.??😳😳😳😳
 
Back
Top Bottom