Ukiwa mtu wa kutafakari na kuunganisha matukio unaelewa ila ukiwa mtu wa kusikiliza tu na bendera kufuata upepo hautaelewa kitu.
Ukiunganisha dots kuna kitu kinamake sense.
Angalia kwa mfano wasanii wetu lifestyle wanayoishi,pesa wanazospend haziendani na kazi wanayofanya halafu baadae wakishatolewa kwenye mfumo wakiumwa wanaomba michango ya hela ya dawa wewe huoni hapa kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia?