OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,471
- 11,367
Moja kati ya mbinu za kujikwamua kiuchumi hapa BONGO ni kuwa mwanachama wa CCM,
Kutokana na mabadiliko ya mfumo wa kimaisha , uchumi na kiutendaji,
Ilikufanikiwa inabidi kwenda sambamba na mziki wa CCM,
Pole pole, Nkuhi , G.Gondwe na wengineo wengi,
Waliziona fursa wakaenda sambamba na beat la CCM kwa kuzichanga karata zao vyema,
HAKUNA LISHINDIKANALO CHINI YA JUA,
Every thing started with an idea.
MKAKATI KABAMBE
1.kujiunga na masomo ya elimu ya juu chuo kikuu cha Dar es salaam (shahada ya uzamili).
2.Kujiunga na umoja wa vijana chama cha mapinduzi (UVCCM).
3.Kugombea nyadhifa mbali mbali ndani ya chama (siraha itakayo nishindisha ninayo ndani yangu).
4. Ntaingia kazini kama mtumishi wa umma huku nikiwa bado ni kada wa CCM
5. Nitashiriki mambo mbali mbali yahusuyo chama ngazi ya halmashauri na mkoa.
6.Nitagombea nyadhifa mbali mbali ndani ya chama na nitashinda kwa kutumia ushawishi nilionao
7.Nikifanikiwa hayo mambo sita hapo juu,
Nitakuwa na wigo mpana wa kunasa uongozi wa juu ndani ya chama, ukuu wa wilaya, ubunge viti maalumu, ubunge wa EAST AFRICA COMMUNITY, Teuzi mbali mbali n.k
Mchango wako wa mawazo ni muhimu sana,
Nikosoe, nisahihishe , nipe maoni yako au niongezee mbinu nipate kutimiza malengo yangu.
Ahsanteni.