Jinsi CCM inavyoingamiza Mtwara

Le bahari unakuja ukibadilika badilika........Happy New Year 2013.Hahahahahahahah!
 
Sisi huku Mitaa ya Railway tumeshamuelekeza Murji kuwa hatumtaki na analifahamu,hajawahi kufika huku na wala hakuja kuitisha mtutano wa kutoa asante.

Huku ni CHADEMA mpaka mtoto mdogo atakuambia hivyo ,Diwani wetu wa Kata ya Railway tunamuandaa.
 
safi sana,,
safi kbs
 
umesahau kuwataja membe,chikawe na majaliwa
Wabunge wa Mtwara (Ghasia, Murji, Njwayo, Bwanausi, Mkuchika, Mkapa na Kasembe) wapo makini, wiki ijayo watakuja na suluhisho la zao la korosho kuhusiana na ununuzi, serikali yetu makini ipo katika mchakato wa kushughulikia.
 
Watu wa Mtwara mtasubiri mpaka siku ya kiama. Wenyewe chama tawala wako busy wanapiga propaganda ya kadi ya Dr. Slaa.

Walipokaa wakawaza sana wakaona hiyo ndiyo njia madhubuti itakayowafanya wakubalike kwa wananchi.

Wanasubiri Slaa achukiwe na watu.

Pia hivi karibuni wataanza kuwatangazia mambo mazuri wanayowafanyia, msikilize radio na TV zenu kwa makini mtaelewa kazi nzuri inayofanyika.
 
kama walidhani mtwara ni kambi yao

sasa watajuta na kusaga meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…