Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,810
- 11,446
Nimekaa nimewaza jamani wananzengo wenzangu, wavumilivu wenzangu wa utanzania. Huyu aliyetengeneza baruti kisha bunduki alaaniwe kabisa na Mungu. Ujue isingekua bunduki, leo hii historia ingekua tofauti kabisa haya mambo ya utumwa na kutawaliwa pengine yasingekuwepo. Nawaza tu!!
Babu zetu hawakua wajinga jamani tusiwakebehi, bunduki inatisha bandugu zangu:-O. Nawaza!
Babu zetu hawakua wajinga jamani tusiwakebehi, bunduki inatisha bandugu zangu:-O. Nawaza!