jossee4x Member Joined Aug 3, 2013 Posts 16 Reaction score 3 Sep 4, 2014 #1 Jamani nimekutana na jini leo, nilijua utani , alikua katka lijishepu la mdada mzur, akanambia anaitwa genie clauneck,
Jamani nimekutana na jini leo, nilijua utani , alikua katka lijishepu la mdada mzur, akanambia anaitwa genie clauneck,
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,185 Reaction score 102,973 Sep 4, 2014 #2 Halafu ikawaje? Mbona umeishia njiani? Malizia story yako. Na Ukajuaje kama ni jini wa pesa? Au una maana gani kumuita Jini wa pesa? Funguka ili tukusaidie.
Halafu ikawaje? Mbona umeishia njiani? Malizia story yako. Na Ukajuaje kama ni jini wa pesa? Au una maana gani kumuita Jini wa pesa? Funguka ili tukusaidie.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Sep 4, 2014 #3 Mshuke kalio
arola JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 550 Reaction score 187 Sep 4, 2014 #4 Acha uongo hakuna jini mwenye jina la kizungu. Majini yote ni ya ukoo wa mudi.
G Goboshi Member Joined Jul 15, 2013 Posts 63 Reaction score 27 Sep 4, 2014 #5 Kisha binywa na jinni lake
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,249 Reaction score 3,070 Sep 5, 2014 #6 arola said: Acha uongo hakuna jini mwenye jina la kizungu. Majini yote ni ya ukoo wa mudi. Click to expand... Usiongee vitu ambavyo huna elimu navyo unavyoona bin adamu ktk mtawanyiko wa asili,dini na mataifa na ndivo walivo majini hivohivo
arola said: Acha uongo hakuna jini mwenye jina la kizungu. Majini yote ni ya ukoo wa mudi. Click to expand... Usiongee vitu ambavyo huna elimu navyo unavyoona bin adamu ktk mtawanyiko wa asili,dini na mataifa na ndivo walivo majini hivohivo