Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,941
Jini ni kiumbe kama viumbe wengine aliowaumba Mwenyeezi Mungu na yey pia atahukumiwa kesho Siku ya Hukumu. Akikupenda huwa ndio anakufanya uwe Mke wake au mume wake inategemea ukiwa ni Dume utapatwa na JINI Mwanamke ukiwa ni Mwanamke utapatwa na Jini dume ndio hivyo. cc HimidiniMziziMkavu
Jini anapomuoa binadamu kinyume na ridhaa yake hata binadamu asioe/kuolewa maisha yake yote na binadamu wenzake Je hukumu ya Mungu itamgusa binadamu?
+
Hawana Ukimwi wala maradhi ya Zinaa ukimpata Mpenzi wa KIJINI unafaidi unakula Raha zako ila ana Wivu sana usirogwe upendwe na JINI umekwisha. cc makavulaivuHivi na wao hawaambukizwi ukimwi kweli
Unamtaka JINI wa kiume bibie King'asti? nikupatie mmoja awe Mpenzi wako?Yaani MziziMkavu!!!!!
Acha uonga wewe Mzee mzima unakuwa kama mtoto mdogo unamtaka JINI mmoja wa Kike nikupatie uishi nae?@KongoshoNatamani azitoe hizo picha, hasa huyu wa mapembe
Yaani MziziMkavu!!!!!
Hawana Ukimwi wala maradhi ya Zinaa ukimpata Mpenzi wa KIJINI unafaidi unakula Raha zako ila ana Wivu sana usirogwe upendwe na JINI umekwisha. cc makavulaivu
Wana madhara Mkuu masharti yao ni magumu huwezi kutimiza usizini, usilewe. Wana Wivu sana hawafai hata kidogo Starehe watakupa na wana mapenzi kupita hata Binadamu ila Wivu wanao mwingi sana akikufumania na Mwanamke mwengine atakuuwa tu hawana huruıma hata kidogo kimapenzi.cc makavulaivuKama hawana madhara ntaftie mmoja mrembo mrembo! mautundu wanayajua kama binadamu?
Jini ni kiumbe kama viumbe wengine aliowaumba Mwenyeezi Mungu na yey pia atahukumiwa kesho Siku ya Hukumu. Akikupenda huwa ndio anakufanya uwe Mke wake au mume wake inategemea ukiwa ni Dume utapatwa na JINI Mwanamke ukiwa ni Mwanamke utapatwa na Jini dume ndio hivyo. cc Himidini
Siamini, huwa nahusisha na magonjwa ya akili
Naamini ya kwenye biblia
Nahusisha mapepo na kurukwa akili
Mimi hata sielewi unaamini nini na huamini nini; so Yesu yule mtu aliyemtoa mapepo alikuwa amerukwa na akili? Na mapepo hayawezi kusababisha mtu kuwa kichaa?
Na BIG QUESTION, mambo yaliyotokea during biblical times (mapepo, ukoma, magonjwa, uzinzi) hayatokei na sasa? Kama magonjwa, vita na vifo vilivyoripotiwa kipindi cha Yesu vinatokea sasa, kwanini kupagawa na mapepo hudhani havipo sasa na badala yake ni kurukwa na akili? Either you believe all or you dont believe kabisa.
Na ironically ukiamini kama hakipo hakipo tu (kuamini kwako hakufanyi kiwepo kisichokuwepo) na kama KIPO hata kama HAUMINI basi hakipotei just because haumini. In your mind (your world) maybe but in real world kilichopo kipo!
Hivi unajua kuna vitu ambavyo zamani kanisa likikuwa linaamini ni mapepo, lakini sasa hivi wamegundua ni magonjwa ya akili?
Vita, njaa na vingine kuwepo enzi za Yesu na kuendelea kuwepo sasa ni sawa, lakini kuna vingine havikuwa na majibu kipindi kile, siku hizi vina majibu. Ujue kuna enzi katika biblia waliamini dunia ni flat??
Ujue enzi za Yesu pia miujiza ilikuwa mingi,sana, ina maana hadi sasa miujiza ile bado ipo?
Usiniambie nawe umeipata hiyo story ya wakatoliki? I dismissed it the moment l heard it from cousin who is a shemasi. HIyo ni kutafuta logical explaination kwenye maswala ya imani ili kuwin the growing scientific population. Okay suppose ni ugonjwa wa akili or whatever, kama huo ugonjwa unaweza ondolewa kwa jina la Yesu then to me haina mshiko.
Did you know biblia ilitangulia kabla ya kanisa; so huo uamuzi wa kanisa haufuti 'ukweli' uliopo kwenye biblia.
Ha ha ha ha, unfortunate am a catholic
Na hapo kwenye mapepo huwa sipaelewi kabisa
Kuna muda huwa nahudhuria mafundisho ya mwakasege, nachopenda ni mafundisho
Lakini ile part ya uponyaji, huwa nahisi inahusiana na 'desperation', kama kweli kuna watu wanapokea miujiza hiyo, am happy for them. Hata wale wanaanguka na mapepo, huwa sielewi huwa nahisi ni 'feeling of guiltiness'
what do you think l am? i am also Catholic; lakini vitu vingine ni vya kiimani zaidi kuliko logic. Maana bado kidogo mtaanza kuita hata walio na vipaji vya Roho Mtakatifu kuwa ni Vichaa; na kwamba kama haiwezi kuwa explained na kueleweka katika viubongo vyetu then si kweli au tunadismiss.
Kuna story moja ya Mt. mmoja hivi ambaye alikuwa anatafakari kuhusu utatu mtakatifu; akawa anakaa ufukweni mwa bahari akijaribu kutafuta logical explaination ya Holy Trinity. siku moja akamuona mtoto mdogo amechimba kishimo chake kwenye shore, halafu anachukua maji kwenye kikopo kutoka baharini anajaza kishimo chake. Ameendelea hivyo kwa muda mwisho yule Mt. akamuuliza (huku akiwa annoyed kidogo) lengo lake hasa ni nini. Yule mtoto akasema kuwa, anataka kuyaamisha maji yote ya bahari yaende kwenye kishimo chake. Yule mt. akamwambia huoni udogo wa hicho kishimo na ukubwa wa hii endless bahari. mtoto naye akamwambia, ukubwa wa shimo hili ni sawa na akili zako, na ukubwa wa bahari ni sawa na fumbo la utatu mtakatifu, hivyo huwezi kulielewa kwa kutumia akili zako hizo na mtoto akapotea. So from that day, yule mt. akalikubali na kuliamini bila kutafuta hizo logical explainations ambazo kanisa la sasa linajaribu kutafuta.