Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,884
- 95,872
Mi ilishanitokea yani mwili unakua kama hauna mawasiliano huwezi kujitingisha
na pumzi inakua ya shida
Pole sana. Sipati picha ulivyohisi unaaga dunia
Mi ilishanitokea yani mwili unakua kama hauna mawasiliano huwezi kujitingisha
na pumzi inakua ya shida
Pole sana. Sipati picha ulivyohisi unaaga dunia
Na ile hali waweza hisi ni jinamizi kweli make ikitokea huwezi hata kutingisha mkono
ilikua ikinitokea mara nying mno. nikawa nadhan mchawi ananikaba. ila baada ya kupitia hili jukwaa na kusoma thread mbalimbali nimefunguka akili. siiogop hiyo tena hali.
Astral projection ama???
Ndio mkuu, hiyohiyo. naivizia siku hiyo hali ikinitokea tena niweze kuona kama nami naweza kufanya safari. kwani elimu hii nimeipata hapa jukwaan cku si nying na hali hyo bado haijanitokea tena pamoja na juhud za kulala chali Ili hali ije tena.
Usiivizie amua tu kuanza kuifanya
Nimeamua na tayari kuna mwalimu ananitumia masomo kwa kiswahili. kwa njia ya email. cjafika level hyo nafkiri. now najifunza kwenye meditation. ambayo hata ivo nayo cjaiva. ila kuna cku nliwahi jaribu astral projection hata kweny ganzi sifiki ndugu. ndo maana nasema navizia hyo hali adimu.
Hii utashangaa hata mchana inanitokea na saa nyingine hata Usingizi haujanichukua sana.Nakakamaa then naona kama kuna kitu kisicho cha kawaida kinaendelea Kwenye macho na mawazo yangu.
Ndio mkuu, hiyohiyo. naivizia siku hiyo hali ikinitokea tena niweze kuona kama nami naweza kufanya safari. kwani elimu hii nimeipata hapa jukwaan cku si nying na hali hyo bado haijanitokea tena pamoja na juhud za kulala chali Ili hali ije tena.
Pia uwe Unasoma masomo yanayowekwa na blog inaitwa Jitambue Sasa aliintroduce Appolo jukwaa hili hili la intelligence na kwa hakika utapata kitu. Mi sikuhizi najitahidi kuipitia na kwa hakika inanijenga zaidi kiroho