Katika hali halisi tuliyonayo hapa nchini, kila kitu kinawezekana; lakini hujua ndivyo mambo yanavyoendelea kutuendea kombo, maana katika kimsingi TANESCO inamilikiwa asilimia kwa mia na serikali, na serikali ndiyo kielelezo cha taifa. katika hali hiyo ikiwa TANESCO inashukiwa kushiriki kwenye mambo ya kipuuzi kama hayo, jambo hilo linatoa taswira gani kwa nchi yetu?