Jina la Said Nassor Bagaile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

Hamisi Andrew ukiwa head prefect wangu Shy Bush, leo umenikera kuliko siku zote. I hate you kama Mwigulu

....ha ha ha mkuu wapi hiyo chui, simba , twiga , nyati ,tembo ...mwaka gani...DUME LA KANDA......au hii ni product ya ml DUNGU
 
Mleta uzi sidhani kama ni sahihi kusema kuwa MH. Kigwangala ni mwizi na anawasiwasi na uongozi wake.

Ninavyomfahamu nimekutana naye Shinyanga sekondari(1996-1998) akawa HeadPrefect (1997) na akapata Division One Pt 8 akaingia UDSM-MUCHS na huko alikuja akawa Rais wa serkali ya wanaCHUO. Record za Uongozi na Elimu ni nzuri sema ni kipindi cha siasa za majitaka.

......Hata E Maige pale ( shy bush) Chui a k a Dume la Kanda alikuwa kiongozi mzuri Tatizo la hawa vijana huko magambani hawachanganyi na za kware kama Deo Filikunjombe.....halafu vilaza chini ya mbuyu wananguvu kuliko mabundi...shule....
 
I usually Curse this kind of people (including Bagalile-A Terrorist)...na siku zao za majuto ziko mlangoni...JUST WAIT AND SEE.. Many of them Watakimbilia uhamishoni na wengine watakufa kabla ya 2015!
 
Huyu Hamis tukiwa Muhimbili ad student alikula fedha za semina ya mafunzo za HIV and AIDS awererness for High Learning Students. Alikuwa kiongozi kama Chairman. na Seminar ilikuwa funded na USA. Tunashangaa baada ya seminar anasema posho hakuna kwa sababu tulipewa lunch. Ila mtoto wake aliuona mpaka akahama pale chuoni kwa muda ili hali itulie. Baada ya muda jamaa akaja na colora nyeupe. Tukawa tumepanga tuichome moto akagundua akahamisha. Tukamla demu wake akaumia sana.
 
Nimewahi kuongea na Kigwangala ana kwa ana, na ukiongea naye kwa muda mfupi tu utagundua kuwa ni mtu mnafiki, anayetafuta support wakati wote hata kama dhamira yake ya ndani ni chafu dhidi ya watu hao anaotaka wamwunge mkono.

Kupata division one siyo sababu kama ilivyo kuwa head prefect. Kigwangala wakati wote anatafuta madaraka, na huenda ndiyo maana kila aliposoma alitafuta uongozi. Na watu wa namna hiyo wapo wengi, ninaye mwingine ambaye nilisoma naye High school, kila mmoja alikuwa anamdharau kwa hekima na uwezo wake mdogo lakini wakati wote alikuwa anatafuta uongozi, hata alipofika mlimani alikuwa Rais wa wanafunzi but the guy is very hopeless, na sahizi ni kiongozi wa walimu. Unatakiwa ufahamu kuwa wengi ambao kila siku wanatafuta uongozi, huwa si watu wenye sifa za kuwa viongozi, na ndiyo maana ni nchi chache sana (zenye mifumo imara) huwa zinakuwa na viongozi wazuri.[

QUOTE=mwana wa mtemi;5615938]Mleta uzi sidhani kama ni sahihi kusema kuwa MH. Kigwangala ni mwizi na anawasiwasi na uongozi wake.

Ninavyomfahamu nimekutana naye Shinyanga sekondari(1996-1998) akawa HeadPrefect (1997) na akapata Division One Pt 8 akaingia UDSM-MUCHS na huko alikuja akawa Rais wa serkali ya wanaCHUO. Record za Uongozi na Elimu ni nzuri sema ni kipindi cha siasa za majitaka.[/QUOTE]
 
Taaluma yake ni daktari wa magonjwa ya binadam amesaliti taaluma na kukimbilia siasa matokeo yake ndo kama alivyofanya bungeni kuhusu MH Tundu Lisu,kigwangwala ni mpenda sifa zisizo na tija
 
Duh! Kazi kweli kweli. Simba akilowa hawi Nyani. Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ha ha aaaaaa! Watu wanaiba hata majina, loh! Kigwangala mwizi wa jina! Sishangai kwa namna alivyo!
 
Tunakushukuru sana kwa taarifa sahihi juu ya hamisi kigwangala mwizi wa jina na haki ya mtu.

Wizi wa majina huko CCM ni MTINDO. Tumeshatajiwa baadhi kama Mlugo, Mwwigulu chemba ambaye jina halisi ni Mkumbo. Anayejua mengine atuorodheshee ili tuwajua MAFISADI wa Majina.
 
Yawezekana ana akili ya kukariri
darasani, na ndiyo maana aliweza kufaulu
masomo ya udaktari ..........umeamua kuwatukana na madr wote
 
namuomba mh akarudie kuipitia medical ethics inasemaje. hustahiki kuwa dactari endelea na siasa.
 
wako wengi walioiba majina kama hawa hawawezikutetea chochote zaidi ya kuaribu senda ya watanzania kwa majina mawili, huyu sawa na mbunge toka mbeya.
 
Wengi wamekuwa wakimshangaa Hamis Kigwangala, Mbunge wa Nzega (CCM), kutokana na kauli na matendo yake. Wengi wameshangaa jinsi alivyohitimisha hoja yake leo bungeni iliyokuwa inahusu ajira ya vijana.

Hamisi Kigwangala, kama anavyojulikana, jina hilo si lake, bali jina lake halisi ni Hamisi Bagalile. Alitumia jina la Kigwangala alipopokonya nafasi ya Kigwangala aliyekuwa amefaulu kwenda kujiunga na masomo ya Sekondari. Kwa tukio hilo pekee yake, Hamisi Kigwangala anayefahamika kwa wengi kama mbunge, ni mwizi wa jina, na mwizi pia wa haki ya Hamisi Kigwangala aliyestahili kupata elimu ya sekondari lakini Bagalile aliiiba.

Baada ya kuhitimu masomo yake ya sekondari, Hamisi Kigwangala (mwizi wa jina), aliajiriwa na kampuni ya Moolman Brothers, kampuni ambayo ilikuwa ni Mining Contractor katika mgodi wa Lusu, kule Nzega. Alikuwa ni storeman lakini Hamisi Kigwangala (mwizi wa jina), hakuacha tabia yake ya wizi. Alishirikiana na mfanyakazi mwenzie katika wizi wa baruti. Walikamatwa, na kisha waliwekwa mahabusu ya polisi, kampuni iliamua kutoendelea na kesi, ikaamua kumfukuza kazi Kigwangala (mwizi wa jina) na rafiki yake.

Baada ya kumaliza masomo yake ya fani ya udaktari kwa taabu, aliingia kwenye biashara (ambako nako anatuhumiwa kufisadi hela ya Stimulus package).

Mwaka 2010, aliamua kugombea ubunge kupitia CCM. Ambapo pamoja na kutoa hongo katika vijiji mbalimbali, kwenye kura za maoni ndani ya CCM aliambulia kuwa mtu 3 akiwa mbali sana kutoka kwa mshindi wa kwanza (Bashe aliyepata kura zaidi ya elfu 10) na wa pili (Seleli), huku yeye akiambulia chini ya kura elfu 3. Lakini kwa sababu Kigwangala ni mtoto wa Mama (kama anavyofahamika kwa wengi kutokana na yeye kuwa mtu wa karibu na WAMA), aliteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM. Kampeni zake zilikuwa za taabu sana, na maeneo mengi alishindwa kufika kutokana na kuzomewa. Na ndipo serikali ilimwamuru Mkuu wa Wilaya ya Nzega kuhakikisha Kigwangala (mwizi wa jina) anakuwa mbunge, na ikawa hivyo.

Hivi karibuni, kama ilivyo ada kuwa mwizi haachi asili yake, Kigwangala (mwizi wa jina) aliiba hoja iliyoletwa na mwana JF hapa jukwani na kwenda kuiwakilisha bungeni kama hoja yake.

Ukisoma historia yake, ni dhahiri huwezi kutegemea mtu wa namna hiyo awe na hekima. Yawezekana ana akili ya kukariri darasani, na ndiyo maana aliweza kufaulu masomo ya udaktari lakini ni dhahiri kuwa hana hekima wala busara, na hilo limejidhihirisha katika michango yake mingi bungeni. Ni lazima tufahamu pia kuwa hata shetani huwa ana akili, hata majambazi huwa na akili; kuwa na akili si hoja, hoja ni je unaitumia hiyo akili kwa namna gani? Unaweza kuitumia akili kutenda uovu au unaweza kuitumia akili yako kwa faida ya jamii yako.

Unapokuwa na wahalifu wa aina ya Kigwangala (mwizi wa jina) ujue una kazi kubwa ya kuwadhibiti maana hawa ni wahalifu wenye akili.

Uzi wako umedhihirisha wewe ni pumba kuliko huyo unae mjadili.
 
Huyu Hamis tukiwa Muhimbili ad student alikula fedha za semina ya mafunzo za HIV and AIDS awererness for High Learning Students. Alikuwa kiongozi kama Chairman. na Seminar ilikuwa funded na USA. Tunashangaa baada ya seminar anasema posho hakuna kwa sababu tulipewa lunch. Ila mtoto wake aliuona mpaka akahama pale chuoni kwa muda ili hali itulie. Baada ya muda jamaa akaja na colora nyeupe. Tukawa tumepanga tuichome moto akagundua akahamisha. Tukamla demu wake akaumia sana.

kwa sasa we nawe ni dr?mmh
 
Kama Kigwangalah sio fake atoe explanation kuhusu kadhia hii vinginevyo inaweza kuwa kasheshe kama wana jf watamtafuta na kumpata kigwangalah original. Sijui itakuaje kama original akipatikana!!!!
 
Jamaa ni dokta mara mbili huyo. Yaani ni dokta (MD) na dokta (PhD).

Jamaa ni mkareee.
aa wapiii....hamna kitu huyu jamaa....ataonekana mjanja kwa wajinga wenzake huko ccm....lakini kwa wale tumjuae....tuliyekuwa tunamsaidia pale muhimbili....hata wakati mwingine kumpa vi project....twamjua kama kijana hovyo...tena opportunist hatari......awezae hata kudhuru...kwa ajili ya cheo/wadhifa....Kwa kifupi hoja nyingi dhidi ya huyu kijana feki ni za kweli......amesoma muchs kwa shida twamjua(wengine tumemfundisha)...tena anavyozidi kuchemka bungeni twaweza hata kuanika uvundo zaidi dhidi yake......Tena kama yumo humu jf....ajue anaaibisha sana taaluma ya udaktari...kwa kuitumia kama mtaji wa kisiasa......mjinga huyu chizi.........Madaktari wazuri hawatambi bana.......
 
Back
Top Bottom