Jina la mtoto wa kiume

gilldenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
2,909
Reaction score
3,026
Wapendwa kwema,

Naombeni mnitajie jina la kiume la kinyakyusa linalofaa kumpa mtoto wa kiume...

Asanteni.


am better here
 
Ukoo Wenu hauna Wanaume Wenye majina U-Copy huko kuliko kutafuta Majina Mtandaoni
 
Lusajo
Mpoki
Tuntufye
Ambilike
Gwamaka
Amanyisye
Asajile
Nsajigwa
Ambakisye
Alinanine
Atupele
Ulimboka

Mwanaume mwite jina la nyumbani
(Nyambala unkolele i ngamu ja kukaja)
 
Wapeni majina ya maana kama: Benson, Franklin n.k haya majina ya kimatumbi wakati mwingine unawaridhisha na mizimu ya mababu pamoja na laana walizoziacha wahusika
 
Asante mkuu...[emoji23]

am better here
 
Ukoo Wenu hauna Wanaume Wenye majina U-Copy huko kuliko kutafuta Majina Mtandaoni
Ukoo wetu tuna majina ya kizungu tupu na wote tumeanzia herufi G so nataka mwanangu nimpe jina la asili yetu ctaki ya kizungu..

am better here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…