Kwangu kuna majina hayo,
Yupo Herode, Goriath, Eskariot, Nebkadneza, Farao nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo, Jesus wa Manchester cityNasikia kina Mohamad wengi kwenye Uislam ila sisikii watu waitwe Yesu kwenye Ukristo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo kibao Spain na America kusini
Sasa mbona nyie Wayahudi bongo hamtoi hilo jina?Wapo kibao Spain na America kusini
Herodi ilikuwa ni cheo siyo jina, ni sawasawa na mtu aitwe waziri mkuu au raisi, kuna mmoja alikuwa anaitwa Herodi AntipasiMfalme herode...kwa nini wazazi wengi hawalitumii jina hili kuwaita watoto wao kama ilivyo majina mengine yaliyo katika biblia takatifu mfano mathayo, yuda, yohana , luka , samweli, yoshua, mussa, daudi, isaya , yusuph n.k
Sent using Jamii Forums mobile app