Jina ELIUD na ABIUD

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
543
Wakuu naamini hapa ni kisiwa cha maarifa, naombeni kusaidiwa maana ya majina hayo kibiblia/kiimani, yanamaana gan?

Na wanahistoria gani kiimani,? Asanteni.
 
Wakuu naamini hapa ni kisiwa cha maarifa, naombeni kusaidiwa maana ya majina hayo kibiblia/kiimani, yanamaana gan?

Na wanahistoria gani kiimani,? Asanteni.
Mwenye mwanga hapa, naomba msaada.
 
Kwanza ni abiud au ni Abihud


Kama ni abihud basi maana yake ni hii
The( devine) father of glory

Baba wa utukufu "

Kuna wahusika wawili wa kibiblia wenye jina la abihud .mmoja wa mwana wa Benjamini aitwaye ahihud (historia 8:3.7)
Na mwana au mjukuu wa zerubabeli na baba wa eliakimu ( mathew 1:3 abihud )



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eliudi kama ilivyoandikwa katika Mathayo 1:14, 15, na maana yake kiebrania inamaanisha "Mungu ni mkuu" au "Ukuu wa Mungu" tafsiri ya moja kwa moja toka kiebrania kuja kiingereza ni "God is grandeur"

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana@ISLETS
 
Asante mkuu, vip uelewa wako juu ya Eliud.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…