Jina baya sijapata kusikia

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
744
Mada tajwa hapo denchani inahusika

Kuna wakat unaeza kufkir mtu anajina la uani kumbe ndo jina lake la kweli toka amezaliwa, sisemi kina Gudume, Mtanzania kizabizabena n.k ambao wapo humu tuu bali jamii kiujumla

Kuna watu wamepewa majina mabaya na wazaz/walez wao mpaka wao wanajutia (Hii pia ni miongoni 7bu za kuanzishwa kwa nick names), wazazi/walezi/Jamii angalien sana mabalaa mengine mnayapanda wenyewe.. mfno majina kama tabu, chausiku, mkombamboga, maharage, konkii etc

Sababu za kuleta uzi huu, nimektana na jamaa anaitwa Fistula, na yeye yuko comfortable kabisa.. Je wew umekutana na lipi/weka na maana yake
 

Acha umbeya wewe mtoto wa kiume.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Demiss jina langu lina maana nzuri sana
ာ်ု်ကထက့့့်နညနုနငိင
 
Kule kanda ya ziwa kuna kikabila kidogo mpwa huita MWIFWA...Ila huyu sijui kama ni wan huko
ငျ်ျ်ျထညထာုျ့တ့ုူူတည်ပငသဆုတ့
 
Usishangae mbona weupe wapo kina Bush Kichaka, Moon..mwezi na Brown, nk. Wapo kina Masunga..
Maziwa_, Bujiku.. Usiku ,Nnauye ..Msirudi, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…