Na hana kazi anayoijua zaidi ya siasa ataishije Nape Nnauye TandaleOne MwanaDiwaniHeshima wanajamvi.
Hali ya kisiasa ya mjumbe wa halmashauri kuu ambae pia ni MC aka msema chochote wa halmashauri kuu ya CCM Taifa ni mbaya sana.Taarifa toka jimbo la Mtama zinadokeza Seleman Methew anaongoza kwa mbali sana huku Nape akiachwa nyuma sana.
Kura ya maoni iliyoendeshwa kwa mtindo wa Kariakoo style zimebaisha Seleman Methew anaongoza kwa 89% huku Nape akiambulia 7.5% tu.Tangu kuanza kwa mikutano ya kampeni Nape amekuwa akisomba watu kutoka maeneo mengine kwa kuhofia mikutano yake kosa watu kabisa.
Tayari Nape amejindaa kwa maisha mapya nje ya siasa,anatarajiwa kujikita zaidi katika biashara hasa za uvuvi,sanaa atakiomba chama chake achukue mikoba ya Late Capt Komba na ushonaji wa sare za CCM chama kinachotarajiwa kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi mkuu 25/10/2015.
Nawasilisha.
Nape atahangaika sana na hivi hajawahi kumiliki hata kibanda cha mpesa namuonea huruma maisha yake bada ya 25 yatakuwa ya msoto sana make ccm kitakuwa chama cha upinzani.
Nape ana hela nyingi hata akishindwa ataishi. Pesa alizovuna na Kinana kwa kampeni ya kutafuta mawaziri mizigo feki na alizokwapua kwenye kampeni za magufuli hadi akashtukiwa zinamtosha kabisa labda aziharibu mwenyewe kwa kutaka kushindana na ukawa jimboniNape atahangaika sana na hivi hajawahi kumiliki hata kibanda cha mpesa namuonea huruma maisha yake bada ya 25 yatakuwa ya msoto sana make ccm kitakuwa chama cha upinzani.
Habari za siku jamaa yangu Prof Ngongo.
Naomba ufafanuzi kiduchu kuhusu Jimbo la Mtama, UKAWA wamesimamisha wagombea wawili.
Mgombea CUF-katika jimbo la-Mtama, Isihaka Mchinjita.
Na Mgombea wa Chadema jimbo la Mtama, Seleman Methew.
Sasa UKAWA watampigia kura nani?
Habari za siku jamaa yangu Prof Ngongo.
Naomba ufafanuzi kiduchu kuhusu Jimbo la Mtama, UKAWA wamesimamisha wagombea wawili.
Mgombea CUF-katika jimbo la-Mtama, Isihaka Mchinjita.
Na Mgombea wa Chadema jimbo la Mtama, Seleman Methew.
Sasa UKAWA watampigia kura nani?
na akishinda mtasemaje wakati ukawa haupo! huu ukawa ni dar tu kila mahali kila chama na lwake.Nape hawezi kushinda Mtama hata kwa dawa