Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,922
- 4,715
kama mgongano huu unainufaisha CCM msitarajie ligawanywe hata kama limekidhi vigezo, poleni kwa hiloDuh hili jimbo ligawanywe wakibosho wamchague mbunge wao hivyohivyo uru
Komu kashagombea pale Mara mbili na kushindana Mara zote. Hii inaonyeaha hakubaliki. Lucy Owenya mwaka huu kajitosa, Mimi nadhani huyu ndio anafaa. Kwanza anaishi hapa hapa moshi, na kakijenga chama zaidi kwa kuwa muda mwingine yupo hapa. Komu yeye anaishi DSM na muda mwingine yupo pale ufipa.
Komu kashagombea pale Mara mbili na kushindana Mara zote. Hii inaonyeaha hakubaliki. Lucy Owenya mwaka huu kajitosa, Mimi nadhani huyu ndio anafaa. Kwanza anaishi hapa hapa moshi, na kakijenga chama zaidi kwa kuwa muda mwingine yupo hapa. Komu yeye anaishi DSM na muda mwingine yupo pale ufipa.
Duh hili jimbo ligawanywe wakibosho wamchague mbunge wao hivyohivyo uru
Una manisha nn mkuu mbona kama kubaguana wewe si mtoa mada?
mbona na wewe umeonyesha ubaguzi...Tuondoe unafiki jimbo la moshi vijiji wapinzani waki msimamisha mwana mke wata pigwa mapema sana
mbona na wewe umeonyesha ubaguzi...
Hao wa CCM wao sio wa-kibosho au wa-uru?Unafiki wa u -kibosho na u- uru umezidi kulipasua jimbo la moshi vijijini hususani kwa upande wa upinzani hii ni kutokanana na kujitokeza kwa mtia nia kutokea kibosho kwa chama cha chadema hii imelivuruga jimbo huku wakibosho wakianza minongono ya iwapo watampitisha lucy ndesamburo au antony komu watawapa ushirikiano wa dhati hancy au cyril ambao ni ccm hii ni kutokubaliana na kutokuwepo kwa demokrasia ndan ya chadema hususan wakibosho kuzaraulika
Unafiki wa u -kibosho na u- uru umezidi kulipasua jimbo la moshi vijijini hususani kwa upande wa upinzani hii ni kutokanana na kujitokeza kwa mtia nia kutokea kibosho kwa chama cha CHADEMA.
Hii imelivuruga jimbo huku wakibosho wakianza minongono ya iwapo watampitisha Lucy Mdesamburo au Antony Komu watawapa ushirikiano wa dhati Jancy au Cyril ambao ni CCM.
Hii ni kutokubaliana na kutokuwepo kwa demokrasia ndan ya CHADEMA hususani wakibosho kuzaraulika.
mbona na wewe umeonyesha ubaguzi...
tz tunapoelekea hapaleweki ukabila,udini,ukanda na uchafu kibao unaibuka chanzo ni kitu gani?