Chadema ichukue jimbo la busega? Chadema ipi hii ya wachaga wapenda majungu wauaji wa chacha zakayo na legia mtema wasiopenda kuona mwanasiasa anapendwa ndani ya chadeama kama siyo mchaga walioshindwa kufanya uchaguzi wa ndani wa chama, ambao wabunge wa viti maalumu ni watoto wa viongozi wa chadema, mahawara zao binamu zao au chadema nyingine itakayo toka mbinguni? Mtasubiri sana mtasema sana lakini subiri 2015 mtapata kilicho mpata Raila kenya mnachonga sana ila naamini mtanyamaza tu muda siyo mlefu,
Kamani kwa muda aliokaa madarakani amefanya mambo makubwa kwa muda wa miaka 2 amechimba marambo 7 sekondari 3 amejenga barabara mwasamba mkula imejengwa pesa ya mfuko wa jimbo inafanyakazi kwa uwazi shule nyingi za msingi zimenufaika na mfuko wa jimbo unaposema hajafanya lolote unataka amnunulie mkeo chupi ndiyo uamini ameleta maendeleo kwako, kamani sio mgawa pesa ya miwa kama mlivyo zoea yeye anasaidia vikundi siyo mtu mmoja kama unavyo taka wewe kuna vikundi vingi amevisaidia mfano kikundi cha wauza kabeji lamadi amewapatia mtaji, kikundi cha waendesha pikipiki nyashimo amewapatia pikipiki na kikundi cha manyam cha nyamikoma ni vikundi vingi sana ambavyo amevisaidia wewe unataka afanye nini uamini anafanya kazi? Muda wa miaka 2 ni mudogo sana lakini ameweza na kazi inaonekana wewe endelea kusubiri chadema ikuletee maendeleo nyumbani kwako,
Sweetwangu sio kweli kwamba sina changu 2015 chadema haipo kabisa busega sasa nani ataninyang'anya changu busega sema kwamba nyinyi ni waongo wanafiki wapenda majungu kila kinacho fanywa na mbunge kwenu ni laana hamuwezi kukubari kwamba kafanya na nyinyi mnaojiita wafuasi wa chadema kila kitu ni kupinga tu hata leo mbewe akikwambia wewe umezariwa nje ya ndoa ya baba yako utakubari maake mnatumika vibaya bila kujitambua ila kuna siku yenu kama ya zimbabwe wewe endelea kulala tu ukiamini mbowe atakuletea mboga nyumbani kwako!
Kamani kwa muda aliokaa madarakani amefanya mambo makubwa kwa muda wa miaka 2 amechimba marambo 7 sekondari 3 amejenga barabara mwasamba mkula imejengwa pesa ya mfuko wa jimbo inafanyakazi kwa uwazi shule nyingi za msingi zimenufaika na mfuko wa jimbo unaposema hajafanya lolote unataka amnunulie mkeo chupi ndiyo uamini ameleta maendeleo kwako, kamani sio mgawa pesa ya miwa kama mlivyo zoea yeye anasaidia vikundi siyo mtu mmoja kama unavyo taka wewe kuna vikundi vingi amevisaidia mfano kikundi cha wauza kabeji lamadi amewapatia mtaji, kikundi cha waendesha pikipiki nyashimo amewapatia pikipiki na kikundi cha manyam cha nyamikoma ni vikundi vingi sana ambavyo amevisaidia wewe unataka afanye nini uamini anafanya kazi? Muda wa miaka 2 ni mudogo sana lakini ameweza na kazi inaonekana wewe endelea kusubiri chadema ikuletee maendeleo nyumbani kwako,
\Busega jimbo ambalo lilikwa wilaya ya Magu sasa ni wilaya kamili, DC Paul Mzindakaya, kijana wa CCM ambaye baba yake amekula nchi akashiba sasa ni zamu za watoto wa wakubwa kuanza kujengewa misingi ya kututawala milele. Jimbo la Busega kutoka kwa Chegeni hadi kwa binamu yake Kamani, sasa halitakuwa chini ya CCM tena. Sababu ni nyingi lakini moja ni kushindwa kufanya au kushawishi maendeleo kwa wanandugu hao wawili yaani Chegeni na Kamani. Nyingine ni ugomvi wote ambapo vile wanafahamiana sana na kujua sana wametiana madoa makubwa, tatu ni ukweli kwamba vijana wa nassa waliamka siku nyingi wakawapa wenyeviti wa kijiji wapinzani wengi sana Busega licha ya CDM kuwa juu hivi karibu, pia CUF and UDP wako katika hali ya kuwepo na sio goigoi. VIJANA wanaotaka mabadiliko wako wengi, Yuko Meya wa jiji la Mwanza Mabula, ambaye yeye ni wa CCM kitu ambacho kitampa wakati mgumu kuwashawishi wajanja wa nassa wampe jimbo, Yupo Meneja wa Telecentre ya Kwanza Tanzania Bwana LONGO, Yupo Moses Masunga Kijana machachali na mwandishi wa habari mkongwe sasa, wapo vijana wengi ambao kwa kweli nguvu wanazo na CHADEMA sasa iko juu kuliko wakati mwingine BUSEGA, Swali ni je Kamani na Paul Mzindakaya wataweza kuzuia nguvu za vijana wasomi ambao pia wanakubalika na wakazi wa Busega??? CCM BUSEGA BYE BYE.
Kamani kwa muda aliokaa madarakani amefanya mambo makubwa kwa muda wa miaka 2 amechimba marambo 7 sekondari 3 amejenga barabara mwasamba mkula imejengwa pesa ya mfuko wa jimbo inafanyakazi kwa uwazi shule nyingi za msingi zimenufaika na mfuko wa jimbo unaposema hajafanya lolote unataka amnunulie mkeo chupi ndiyo uamini ameleta maendeleo kwako, kamani sio mgawa pesa ya miwa kama mlivyo zoea yeye anasaidia vikundi siyo mtu mmoja kama unavyo taka wewe kuna vikundi vingi amevisaidia mfano kikundi cha wauza kabeji lamadi amewapatia mtaji, kikundi cha waendesha pikipiki nyashimo amewapatia pikipiki na kikundi cha manyam cha nyamikoma ni vikundi vingi sana ambavyo amevisaidia wewe unataka afanye nini uamini anafanya kazi? Muda wa miaka 2 ni mudogo sana lakini ameweza na kazi inaonekana wewe endelea kusubiri chadema ikuletee maendeleo nyumbani kwako,
Bangi anayovuta akina juma necha wanasingiziwa
Huyo jamaa aliiba sana vocha za pembejeo kule S'wanga. Nashangaa Rizwan akalipeleka jina lake kwa mshua ili awe DC, na akawa!