Jilambe: Wanaume tu!

Mkuu ndo heri ya mwaka Mpya siyo? Daah haya ila labda hapo kwenye samaki tutakwenda sawa ila ugali nakulaga mchana kupitisha siku tuu, sina mapenzi ya dhati na 'NGUNA' aka dona


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwwii. Mie sio Me ila nimejilamba hasa baada ya kuwaza mchuzi wa kulia hiyo kitu unavyotakiwa uwe na ndimu ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…