zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
afadhali umekuja CC itachangamka zubedayo_mchuzi....
zubedayo_michuzi, acha kuharibu jina langu ....kabanga habari ya siku mingi........
aiseee inabidi mwezi huu turudi
.....kabang ....mke wako alikuwa nani sikumbuki kumbuki
Mzee wa kutembea toka K'koo hadi Kimara bila miguu kupata hata punje ya vumbi...
Na kweli zubedayo_mchuzi nimetoa macho si kidogo.............
...............madame B
...chivumbu...........
zubedayo....
............arabela....
...............ongeza acha kutoa macho wewe,...............
Na kweli zubedayo_mchuzi nimetoa macho si kidogo.
Kipindi hicho naitwa Hygeia nilikuwa naringa na kimwana Leila Mwenda aka Erotica.
Koh! Koh!
Valentina mbona kikohozi nini tena
Nimepaliwa,naomba maji!
Koh! Koh!
Niitie yule bilionea wetu
bilionea kafulia sasa hivi yupo mzakwe dodoma
Hahahaha unamjua kwanza huyo bilionea?
Kuna maji aina kama mbili hivi.
maji mazito na maji mepesi
Niitie yule bilionea wetu