JIKO LENYE OVEN LINAUZWA

mtimkav

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
1,034
Reaction score
662
Jiko linauzwa
*lina oven na plet mbili kwa juu
*Ni zuri halina matatizo yoyote kwani halijatumika sana(ni kama jipya tu)
*kama unafanya biashara ya keki litakufaa zaidi
*bei ni lakimoja na hamsini 150,
000
*sababu ya kuliuza ni kuwa ninahama
*kwa mawasiliano 0718112243, 0625558625 dar es salaam

 
bei maelewano punguzo lipo
 
Nina laki moja kamili,ila nipo Morogoro,tunawezafanya biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…