R rude Boi JF-Expert Member Jul 28, 2021 326 604 Apr 26, 2024 #1 Wana jamvi habari. Naomba kujua kampuni inayotoa majiko ya kupikia yenye oven ambayo yanasehemu ya kupikia kwa gas na plate moja ya kupika kwa umeme.
Wana jamvi habari. Naomba kujua kampuni inayotoa majiko ya kupikia yenye oven ambayo yanasehemu ya kupikia kwa gas na plate moja ya kupika kwa umeme.
Mademoiselle JF-Expert Member Jul 11, 2022 528 2,262 Apr 26, 2024 #2 La kwangu ni mart...labda tusubiri wadau wengne
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 37,694 86,993 Apr 26, 2024 #3 rude Boi said: Wana jamvi habari. Naomba kujua kampuni inayotoa majiko ya kupikia yenye oven ambayo yanasehemu ya kupikia kwa gas na plate moja ya kupika kwa umeme. View attachment 2974596 Click to expand... Hili hauto juta mkuu Attachments FB_IMG_1654598898573.jpg 40.3 KB · Views: 5
rude Boi said: Wana jamvi habari. Naomba kujua kampuni inayotoa majiko ya kupikia yenye oven ambayo yanasehemu ya kupikia kwa gas na plate moja ya kupika kwa umeme. View attachment 2974596 Click to expand... Hili hauto juta mkuu
R rude Boi JF-Expert Member Jul 28, 2021 326 604 Apr 26, 2024 Thread starter #5 Watu8 said: Ovena Inaitwa Oven mzee baba Click to expand... Typing error mzee.
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 71,330 95,058 Apr 27, 2024 #6 rude Boi said: Typing error mzee. Click to expand... Pamoja...
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 120,836 144,580 Apr 27, 2024 #7 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw