Jijue, wewe ni beberu

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,135
Reaction score
29,792
Ni lazima ujijue kama una virusi vya ubeberu, haijalishi wewe ni CCM au CHADEMA, au ACT-Wazalendo:
  1. Kama unaota kifo cha mtanzania mwenzako, hasa kiongozi, kama mabeberu original wanaotaka regime change
  2. Kama wewe unafurahia shida za watanzania hasa wanyonge
  3. Kama shida za wengine ndio mtaji wako wa kibiashara
  4. Kama unaungana na wasio watanzania kukandamiza watanzania/wanyonge
  5. Kama hupendelei maendeleo ya aina yoyote nchi, we ni kukosoa tu
  6. Kusababisha kifo kwa mtanzania mwenzako
  7. Kutowapenda watanzania wenzako na kukosa uzalendo
  8. Ukiwa mkabila, mdini au mpenda ubaguzi wa aina yoyote
  9. Kujilimbikizia mali isivyo halali na kupeleka vijisenti Uswisi
  10. Kutukuza wazungu waliokutawala bila kuwa na mikakati mbadala ya kuiendeleza nchi.
  11. Kupendelea kufanya kazi za umma na maksmpuni ya nje badala ya wazawa
.................kuna mengine mengi tu!

Kwa kuanzia ukiwa na hizo qualities wewe ni BEBERU.
 
Daaah kuna mtu anajisema yeye mzalendo lakini anakidhi 79% ya vigezi ulivyotaja. Kwa hiyo naye ni beberu?
 
Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili.” *Benjamin_Franklin* Tuacheni petty politics zinazoongwa na Taarifa za Ramli na kuombea tusiowapenda Mabaya
 
Kuna mtu anamchukia Sana kwasababu yeye anamchukia sana wengine.
 
Hizo zote ni sifa za serikali ya awamu ya,tano. SERIKALI HII NI YA MABEBERU
 
Na ambaye huna hivyo viashiria ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…