Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 757
- 1,822
Halmashauri ya Jiji la Arusha imeendelea kuwa Jiji lenye kutekeleza miradi na huduma bora kwa wananchi wake nchini.Leo nimeongoza jopo la wataalum wa Jiji mbele ya kamati ya bunge ya hesabu za serikali za mitaa (LAAC) juu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na maagizo ya kamati na mapendekezo ya mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali za halmashauri ya Jiji la Arusha 2015/2016.Kamati imeridhika na utendaji wa Jiji na mwaka ujao watatembelea Jiji la Arusha kujionea kwa vitendo.Pongezi kwa wah madiwani ,wataalam na watendaji wote na wananchi kwa kuendelea kutuunga mkono.Umoja wetu Nguvu yetu.
Hapo mkuu wa mkoa anatoka wapi ktk utekelezaji wa maendeleo ya jiji..???Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa na wengine.
Yale Yale " Barabara ya Morogoro road"Hongereni jiji dogo la Arusha lenye muonekano mzuri baada ya jiji la Rock city___hongereni sana.
Unatafta ligiHongereni jiji dogo la Arusha lenye muonekano mzuri baada ya jiji la Rock city___hongereni sana.
Eroooo acha kufananisha Arusha na kijiji kikubwa cha miamba ..Hongereni jiji dogo la Arusha lenye muonekano mzuri baada ya jiji la Rock city___hongereni sana.
Eroooo acha kufananisha Arusha na kijiji kikubwa cha miamba ..
Eroooo acha kufananisha Arusha na kijiji kikubwa cha miamba ..
In kwamba unasikia tuu. Sio kweliNaskia wilaya zake hazina hospitali au zina uhaba wa hospitali