Umeonaee yani utashangaa umeungwa kwenye group la WhatsApp bila wewe kujua. Washenzi Sana hawa. Hivi serikali haioni?Hao Matapeli ndiyo wale wanaojiita Champion Investment pale Mwanza. Wana nyaraka za kughushi za TRA,BRELA na MANISPAA.
Wanachofanya ni kukuunga kwenye group lao pasipo taarifa, Cha ajabu utashangaa Kuna maadimin kumi na tano.
Sasa kwa kuwa namba zao ninazo.namalizia hatua za mwisho kupata ushauri wa kisheria ili nijiunge nao niwaangushie jumba bovu.
Atakae pinga shauli yake acha akapigwe hukoSema kuna watu bado watapinga