Watakuwa Wa Tigray hawa kwa wizi walizoea sana enzi zile walikuwa walipokuwa wamesoma wenyewe saivi naona wamehamia huko mana saizi hara Wa omoro na Wa mhara wamesoma wamebana sana ofisini huko saivi wamekaa benchi wanamaindi sana kuwa kanda pendwa tu inapewa teuziKuna vijana wanao fanya kazi vodashop morombo ni waizi wa kutupwa. Unatoa laki moja wanakupa noti tisa za elfu kumi na noti moja ya elfu mbili. Unapo hesabu unawaambia mbona umeniwekea noti ya elfu mbili na si elfu kumi, watakwambia sisi si wajinga tumekupa hela zako kamili.
Pia kuna watu wanalalika sana kuwa unaweza fika hapo ukachanganyiwa na noti fake. Vodacom Tanzania mnaharibiwa jina.
Kwa hiyo ni halali watigrey wa Tz kutuibia?Watakuwa Wa Tigray hawa kwa wizi walizoea sana enzi zile walikuwa walipokuwa wamesoma wenyewe saivi naona wamehamia huko mana saizi hara Wa omoro na Wa mhara wamesoma wamebana sana ofisini huko saivi wamekaa benchi wanamaindi sana kuwa kanda pendwa tu inapewa teuzi
Walizoea sana kuiba na kubebana kwa vimemo saivi wamebakiza kujifariji tu.Kwa hiyo ni halali watigrey wa Tz kutuibia?
Ila na wa oromo muache kubebana sana. Itakua mnaiga tabia za kitigrey.Walizoea sana kuiba na kubebana kwa vimemo saivi wamebakiza kujifariji tu.
Waliozoea kuibia umma Wa Tanzania saivi watakuwa wamebuni mbinu mpya.
Ila bana Wa Tigray ni Nouma wanajiona kuwa wao ni special. Kama vipi wadai nchi yao wajitenge mbona Ethiopia wnajitenga
Hawa vodashop morombo ni zaidi ya waizi. Hawaogopi wala hawana haya. Wanakupiga hapo hapo hata kabla hujaondokaSio kwa wakala hata kwenye mabank watu wengi wanaibiwa kifala kweli
Tuliwahi wapa kichapo wee acha tuu nikiwa hapo 833kj walimzingua pte bawakujua basi mziki wake kwanza tuliteka lori la mchanga (tiper)tukaenda nalo mtu kama 60 hivi tulifunga mtaa hizo flat screen na simu za wapita njia naza bodaboda kadhaa tulibeba na salfet *****Watakuwa Wa Tigray hawa kwa wizi walizoea sana enzi zile walikuwa walipokuwa wamesoma wenyewe saivi naona wamehamia huko mana saizi hara Wa omoro na Wa mhara wamesoma wamebana sana ofisini huko saivi wamekaa benchi wanamaindi sana kuwa kanda pendwa tu inapewa teuzi
Hata Vodacom Tanzania wamekuwa waizi?Ila sikuhizi ubabaishaji umezidii,
Hata ukisajili laini mpya ukiweka vocha inaweza ikatwe uambiwe ilikua inadaiwa.
Sasa na Hawa vodashop morombo ni waizi na wanabaraka zote kutoka vodacom ? TCRA angalieni wananchi tunaibiwa na Hawa vijana wanao fanya kazi morombo vodashop.Michezo ya wizi ya mawakala wasio waaminifu ni mingi,lakini kikubwa ni kuhakiki kila jambo unachofanya unapokuwa kwa wakala.
Kunawakala pale Kinondoni kwa manyanya nilimpa fedha nyingi kiasi aniwekee,akachukua pesa kisha akabonyeza bonyeza simu akanambia hana salio la kutuma niende pengine.
nilipozichukua zile pesa nikazihesabu tena,nikakuta elfu 30 zimepungua.
nikachimba mkwara mbuzi,nikamkazia macho akanambia "hizi apa chini zilikuwa zimeanguka na mimi sikujua,naomba unisamehe"
aliponipa bado sikumuacha,nikavimba mpaka watu wakajaa.
Akaja mdada ana duka pembeni nae akasimulia kesi yake tofauti alivyompigwa na wakala mwingine asie muaminifu kwa wateja.
Wizi ni hulka/tabia ya mtu.Sasa na Hawa vodashop morombo ni waizi na wanabaraka zote kutoka vodacom ? TCRA angalieni wananchi tunaibiwa na Hawa vijana wanao fanya kazi morombo vodashop.