Jihadhari Na Mwenye Hii Namba

Hahahaaaa. ...nataman apite anga zngu.atajuuuuta!....
me nshapigiwa simu na mtu et nmpe 50000 il achonge na hr vzur weee nkamwambia ngoja niende pccb ndo mengne yafuate! alitoa line yake hakupatkana tena
 
Meseji kama hiyo alitumiwa mke wangu mara mbili wakati tofauti nikajibu kupitia simu ya wife ifuatavyo " Kesho saa mbili na nusu asubuhi jipeleke mwenyewe Central Police ukiwa na shahidi mmoja kutana na afande.....(nikataja jina feki) ukimkosa jieleze kosa lako pale front desk waandike maelezo.Usipokwenda nitakupata ndani ya masaa matatu na sitokupa nafasi ya msamaha kwa utapeli wako wa muda mrefu"

Nadhani tumbo lilimsokota hapo hapo:loco:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…