Mbishi 4 real
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 640
- 655
Aisee huyu Chapati
alinitumia na mimi siku moja..jibu nililompa hakurudia tena..
Hii hapa sms yake.."Hallo..naitwa Frank from MICROLEVEL NGO Dar,tupo
kikaoni tunapitia CV za kuinterview for project officer,your cv is good
nataka nikusaidie upate hii kazi if you agree with my terms,salary ni
1,200,000/=ukilipwa salary ya kwanza utanipa laki 4.Hr Manager
nimeshampa mchongo kakubali atakupitisha directly but anataka laki 1 leo
leo me nina elfu 75 tu hapa so tuma sh. elf 25 by tigo pesa to
0713-115368 ili itimie tumpe hiyo laki.By saa 10 jioni uwe umeshatuma me
siwezi ongea now mpaka badae nikitoka kikaoni nitakucheki tena na ndipo
utapigiwa simu lini uje for interview"
Eti ujumbe kama huu mtu atoe hela yake..huyu jamaa ni mbulula
sana..jipange mzee..
Thatz why we have been given brain before seeing the sun
Have Home Based Employment And Earn Money Monthly upto [ 7961$ ] @ Internet-Duty
Aisee huyu Chapati alinitumia na mimi siku moja..jibu nililompa hakurudia tena..
Hii hapa sms yake.."Hallo..naitwa Frank from MICROLEVEL NGO Dar,tupo kikaoni tunapitia CV za kuinterview for project officer,your cv is good nataka nikusaidie upate hii kazi if you agree with my terms,salary ni 1,200,000/=ukilipwa salary ya kwanza utanipa laki 4.Hr Manager nimeshampa mchongo kakubali atakupitisha directly but anataka laki 1 leo leo me nina elfu 75 tu hapa so tuma sh. elf 25 by tigo pesa to 0713-115368 ili itimie tumpe hiyo laki.By saa 10 jioni uwe umeshatuma me siwezi ongea now mpaka badae nikitoka kikaoni nitakucheki tena na ndipo utapigiwa simu lini uje for interview"
Eti ujumbe kama huu mtu atoe hela yake..huyu jamaa ni mbulula sana..jipange mzee..
Heshima kwenu wakuu,
Mwenye hiyo namba apo chini ni tapeli wa kutupwa. Amenitumia sms akinitaka nimtumie 35,000 ili aniunganishe na HR kwaajiri ya kunipatia kazi ya IT officer. Binafsi hata siku moja siwezi kutapeliwa kwa staili hii, huyu tapeli inabidi ajipange sana ikibidi aende shule akasomee mbinu za kutapeli. Nimeweka iyo namba na jina ili watu wajihadhari nae.
0713115368(Anaitwa Frank Malegi)
Asanteni
Kwanin siku nyngne na kwa watu wengne aktuma tusimwekee mtego wa kumkamata;mwambie kwa lugha nzuuur na ww unajifanya unashida kweli ila huwez tuma pesa kwa usiyemwona basi aje umpatie hata nauli zote mwambie ntakurudishia afu pga hyo mutu ikufe!