Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Joseverest: uko wapi leo mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa mkuuJuu yako mkuu, unapomfikiria yeye keshatupia kitambo
Je..ni kweli anauwezo wa kubeba mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 3-7?au uzito wa kilo 13Tai anapotaka kupambana na nyoka, apambani nae ardhini kwa kujua nyoka ardhini ni mjanja sana! Na mwenye nguvu kubwa sana ni lazima amtwae na kupambana nae juu angani umbali mrefu kabisa nyoka angani hana ujanja nguvu wala stamina, wakati tai akimshambulia nyoka, nyoka hapo hana ujanja wala maarifa mpaka anaishiwa nguvu kabisa na kutupwa chini na nyoka ujifia, sasa hapo cha kujifunza ukitaka kupambana na adui yako kiroho muachie mungu mungu ndio kila kitu na nina imani Utashinda mbarikiwe sana watumishi wa mungu Ameen..
Hmm! Nasikia lkn sina uhakika mkuu.Je..ni kweli anauwezo wa kubeba mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 3-7?au uzito wa kilo 13
Hmm! Nasikia lkn sina uhakika mkuu.Je..ni kweli anauwezo wa kubeba mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 3-7?au uzito wa kilo 13
AmeenBarikiwa sana mkuu
Hajafika tuu?atakuwa anafuturu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Joseverest: uko wapi leo mkuu
Fafanua kidogo Kiongozi.kila kitu huanzia rohoni
Ni kweli. Ni lazima ufanye jambo lililo ndani ya uwezo wako.Sabalkheri wadau!
Kumuachia Mungu mambo yaliyopo ndani ya uwezo wako?.Hizi kauli ni za watu wenye Mdudu kichwani.Mungu anakusaidia unachostahili, si unachokitaka.Msome Erickford4 hapo juu.
Sasa kwanini alikupa Ubongo?.Si ili uchakate mambo kivyako vyako then pale utakapofikia naye aweze kukusaidia?.
If you have a mental problem, You need to offer mental solutions.The same to Spiritual problem.Not viseversa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Juu yako mkuu, unapomfikiria yeye keshatupia kitambo