Jifunze kubet kwenye Basketball, ni afadhali sanaa kuliko Football

Mkuu mm ni mmojawapo ninayekula kupitia basket,naomba no yako mkuu tuwe tunayajenga kupitia whsp
 
haya kuna mwenye utata, maelekezo, shida, maboresho na kujurishwa... nimerudi, mie ndio nilieuleta huu uzi mwaka jana.... nashukuru watu wengi nimewafundisha na kuwaelekeza vingi leo wana enjoy tu kivyao. karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…