Jifunze kubet kwenye Basketball, ni afadhali sanaa kuliko Football

Mkuu hapa inatakiwa kuchezwaje? Mbona sion option ya kuipa team flani ishinde kama ni over?
Screenshot_20180821-212311.png
 
Naanza rasmi kubet. Kutokana na michango ya wadau, inaonyesha basketball ina toa hela. Sasa nimesha download 1xbet. Kwa wale wajuzi, naomba tushikane mikono tafadhari
 
Back
Top Bottom