article /a/
hi huwa Ina kanuni zake kwa matumizi ya lugha
_ kwanza ni lazima ifuatiwe na nomino
_pili nomino hizo ziwe Zinahesabika
Mfano
a boy.
a house
a teacher...
NK.
Huwezi sema
a food
a money nk.
Upande wa vitu visivyohesabika huwa tunatumia some
Mfano
Some money
Some food
Some water.(huwezi ukahesabu maji)
Ukisema *a play* sio sahihi, kwasababu missing ya kingerez haijafuatwa *play*ni cheza,maanake ni kitenzi/kitendo.
Kwa hyo kanuni kuuu ya article/kiashiria nafsi ni hufuatiwa na nomino.
Karibu saaaasa ujifunze kingereza fasaha kwa kiswahili. Ikiwa ni punguzo kubwa la msimu wa siku kuu.
Wasiliana nami sasa 0753093869