Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 754 Nov 15, 2009 #1 Hii ni katika hafla ya Mo Ibrahim foundation iliyofanyika Mlimani City Dar es Salaam Usiku wa jumamosi ya tar 14 Nov 2009
Hii ni katika hafla ya Mo Ibrahim foundation iliyofanyika Mlimani City Dar es Salaam Usiku wa jumamosi ya tar 14 Nov 2009
M Magezi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2008 Posts 3,359 Reaction score 703 Nov 15, 2009 #2 acha uongo umemuona wapi lipumba???? nenda kapate picha zote kwa michuzi usidanganye watu hapa.
Junius JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 3,180 Reaction score 149 Nov 15, 2009 #3 Hey,huyu wa katikati siyo Lipumba ni Youssou N'dour, mwanamuziki kutoka Senegal alialikwa na mwenzake Anjelique Kidjo,kutoka Benin...hapo JK anampigia ujiko Jide kwa N'ndour, amsaidie kupaa kimataifa kama yeye.
Hey,huyu wa katikati siyo Lipumba ni Youssou N'dour, mwanamuziki kutoka Senegal alialikwa na mwenzake Anjelique Kidjo,kutoka Benin...hapo JK anampigia ujiko Jide kwa N'ndour, amsaidie kupaa kimataifa kama yeye.
Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,471 Reaction score 754 Nov 15, 2009 Thread starter #4 Magezi said: acha uongo umemuona wapi lipumba???? nenda kapate picha zote kwa michuzi usidanganye watu hapa. Click to expand... Wabongo bwana hivi hayo macho yako hayaoni ama uko confined na michuzi in terms of news?
Magezi said: acha uongo umemuona wapi lipumba???? nenda kapate picha zote kwa michuzi usidanganye watu hapa. Click to expand... Wabongo bwana hivi hayo macho yako hayaoni ama uko confined na michuzi in terms of news?
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 86 Nov 15, 2009 #5 JD kala konozzzz..haya makubwa!
Pape JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 5,487 Reaction score 86 Nov 15, 2009 #6 Mfunyukuzi said: Wabongo bwana hivi hayo maco yako hayaoni ama uko confined na micuzi in terms of news? Click to expand... hahahahahahaha umeiona hiyo?
Mfunyukuzi said: Wabongo bwana hivi hayo maco yako hayaoni ama uko confined na micuzi in terms of news? Click to expand... hahahahahahaha umeiona hiyo?
Fredwash JF-Expert Member Joined Oct 27, 2009 Posts 1,419 Reaction score 2,087 Nov 16, 2009 #7 Mfunyukuzi said: Wabongo bwana hivi hayo macho yako hayaoni ama uko confined na michuzi in terms of news? Click to expand... usimlaumu sana... yemwenyewe anatumia lensi kusoma maandishi ya kwenye screen....hajui picha ya kwanza ndio ya lipumba......na jD lol teheeteheee..
Mfunyukuzi said: Wabongo bwana hivi hayo macho yako hayaoni ama uko confined na michuzi in terms of news? Click to expand... usimlaumu sana... yemwenyewe anatumia lensi kusoma maandishi ya kwenye screen....hajui picha ya kwanza ndio ya lipumba......na jD lol teheeteheee..